Uzalendo wa Kitanzania
JF-Expert Member
- Mar 8, 2020
- 4,274
- 9,326
Shangaa wewe!Kwani kuna tatizo gani juu ya hilo?
Nyau yupo mzigoni Tena kafanya matembezi kujionea athari za vijibaruti vya Irani vilivyodondokea kwenye ardhi yakeWakati huo huo Netenyahu kakimbia nchi
Kiufupi Natanyahu kajipanga kumaliza safu yote ya wanaompa kiburi kwenye mfumo wake wa ulinzi na kuharibu mifumo ya kurusha makombora, kumbuka mifumo ya ulinzi wa anga alishamaliza, baada ya hapo ni mpersia kuolewa tuKama mkuu wa Idara ya usalama wa taifa wa Irañ na mkuu wa majeshi wote wameuliwa ina maana ayatollah hofu imemjaa kwa maana hao ndio wanao organise ulinzi wake
Mwambie Ayatollah au Rais wao atoke na yeye kukagua athari kama atakubali, hahahaNyau yupo mzigoni Tena kafanya matembezi kujionea athari za vijibaruti vya Irani vilivyodondokea kwenye ardhi yake
Haweziiiiiii watamtangulizaaa kizembe sana kwa mabikra 144Mwambie Ayatollah au Rais wao atoke na yeye kukagua athari kama atakubali, hahaha
Angalia Al Jazeera usiku huu, mchana kakagua Bandari ya HaifaHata Netanyahu naye yupo mafichoni. Ni kawaida kabisa!
Kalala hapo hapo bandarini?Angalia Al Jazeera usiku huu, mchana kakagua Bandari ya Haifa
Hata Hayatollah asingelala hapo hapo Bandari Al AbbasKalala hapo hapo bandarini?
So kujificha kwenye vita ni kawaida sana.Hata Hayatollah asingelala hapo hapo Bandari Al Abbas
Lakini pia tunapoipa sifa Israel, ni muhimu kuweka mambo katika context.Trump kasema wasimuue, hata nami nasema/naunga mkono wasimuue.
Wamuache ili naye apate aibu, na aiishi aibu ya kujimwambafy wakati akijua nchi yake haina uwezo wa kupambana na Israel kivita.
Israel inauwa ma General wote atabaki peke yake, na sijui sasa atakuwa anaongea nini kwa wananchi baada ya vita.
Hayo yoote uliyosema nayakubali Israel haitimii bila Kusaidiwa na Marekani na washirika wake.Lakini pia tunapoipa sifa Israel, ni muhimu kuweka mambo katika context.
Bila msaada wa Marekani na nchi zingine za magharibi, Israel ingepata wakati mgumu sana.
Hata sasa hivi tu Iran inapambana peke yake huku Israel ikisaidiwa sana na Marekani hususan, kwa sasa, kwenye mambo ya intelligence.
Marekani ndo inawapa intelligence hao Israel.
Marekani ndo ina supply zana zao za kivita.
Marekani imeweka vikosi vyake standby huko Mashariki ya kati.
Waingereza nao wamesogeza vikosi vyao.
Iran anarusha makombora ambayo yanakatiza anga za nchi walau mbili, Iraq na Jordan.
Wakati mwingine Jordan inayatungua hayo makombora.
Kwa hiyo Jordan inaisadia Israel.
Israel ana backing kubwa sana kushinda Iran.
Iran kwa sasa hana backing yoyote ile.
Kwa hiyo kuisifia sana Israel bila kuweka mambo katika muktadha, si sahihi.
Israel hapigani hii vita peke yake.
Leo imetoka taarifa kuwa Trump kazuia Israel wasimuue Ayatollah.
Kama Trump kazuia huo mpango, maana yake ni kwamba Marekani ina influence kubwa sana kwa Israel na iko involved behind the scenes, at lease kwa sasa.
View: https://youtu.be/2zbYrjCCXNE?si=EQN4Ov9qmY39PlXL
Al Jazeera wanauliza kama China, Russia, na Türkiye nao wataisaidia Iran….
View: https://youtu.be/4f946M6a7Io?si=JQtGtJ2XDOI0ZHhU