Kumbe Aziz K muislam?

Kumbe Aziz K muislam?

Malaria 2

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2023
Posts
6,846
Reaction score
10,288
Nimemuona ktk video moja akiwa msikitini siku ya ijumaa. Allah amjaalie adumu ktk ibada.
Waliokaribu nae wamshsuri asikubali tena kumvisha jezi yule dada siku ya Yanga Day.
Dini yetu inakataza mambo yale hasa zaidi hadhara ktk jamii
 
Kasema Mtume (s.a.w) “Anamwijia mmoja wenu shetani katika sala, basi anapuliza (anampuliza) katika matako yake, basi yule mtu inamwijia fikiria ya kuwa umemtoka upepo (kajamba) nae haukumtoka, basi akiona hali hiyo asiondoke kwenye sala mpaka asikie sauti ya kumtoka huo upepo au anuse harufu yake”. (KITABU CHA MKWELI MWAMIU, JUZUU YA 1 -2 HADITHI NA. 74, UK 42)
 
😅😅😅
Yaani na Aziz ki kuwa kwenye hiyo dini ni suala la kuandika uzi
Kama uliona sio suala la kuandika uzi si ungepita kimya tu?

Wewe jamaa ukisikia tu neno Uislamu hua unaumia sana,hata huu uzi ni kama umekuchoma kama pasi,

Ungeuignore tu uzi kama uliona hauna manufaa kwako,kuchukia dini za wenzako kutakuletea vidonda vya tumbo tu,relax acha chuki za kijinga.
 
IMG_20241231_164052_104.jpg
 
Nimemuona ktk video moja akiwa msikitini siku ya ijumaa. Allah amjaalie adumu ktk ibada.
Waliokaribu nae wamshsuri asikubali tena kumvisha jezi yule dada siku ya Yanga Day.
Dini yetu inakataza mambo yale hasa zaidi hadhara ktk jamii

Tatizo la imani kila mtu mjuaji wewe kaa na imani yako . Ushauri baki nao mwenyewe . Kuna wengine watakuja na kusema bukta haziruhusiwi!
 
Sasa akiwa muislam awe asiwe, wewe inakusaidia Nini?
Imani yake ni ya yeye na Muumba wake
 
Tatizo la imani kila mtu mjuaji wewe kaa na imani yako . Ushauri baki nao mwenyewe . Kuna wengine watakuja na kusema bukta haziruhusiwi!
ni jambo la kheri
Allah anasema:
"Na kumbushana, kwani kukumbushana huwafaa Waumini."
(Qur'an 51:55)

2. Kuamrisha mema na kukataza maovu
"Na ijae katika nyinyi jamii itakayolingania kheri, na ikiamrisha mema na ikakataza maovu. Na hao ndio wenye kufaulu."
(Qur'an 3:104)
 
Nimemuona ktk video moja akiwa msikitini siku ya ijumaa. Allah amjaalie adumu ktk ibada.
Waliokaribu nae wamshsuri asikubali tena kumvisha jezi yule dada siku ya Yanga Day.
Dini yetu inakataza mambo yale hasa zaidi hadhara ktk jamii
Wewe Mwislamu wa wapi hujui Aziz ni jina kutoka Dini Gani...?
Kuna Watu ni Vilaza Sana Basi.
 
Siku hizi kuna mwryam, kumbe mkatoliki pure. Siku hizi majina yanaigwa
Wewe Mwislamu wa wapi hujui Aziz ni jina kutoka Dini Gani...?
Kuna Watu ni Vilaza Sana Basi.
 
DINI NA MICHEZO NI VITU VIWILI TOFAUTI. VIKIINGILIANA HULETA MTAFARUKU,MIGONGANO NA KUTOELEWANA MIONGONI MWA WANAMICHEZO. SISI KAMA TAIFA TUPIGE VITA MASWALA YA UKABILA,RANGI,JINSIA,UKANDA DINI AU HALI YA MTU. MICHEZO NI URAFIKI,UDUGU NA UJAMAA,MICHEZO NI AFYA,MICHEZO HUJENGA UMOJA,MSHIKAMANO,NA,UTULIVU WA NCHI NA WANANCHI.
 
Kama uliona sio suala la kuandika uzi si ungepita kimya tu?

Wewe jamaa ukisikia tu neno Uislamu hua unaumia sana,hata huu uzi ni kama umekuchoma kama pasi,

Ungeuignore tu uzi kama uliona hauna manufaa kwako,kuchukia dini za wenzako kutakuletea vidonda vya tumbo tu,relax acha chuki za kijinga.
We jamaa taahira kweli, yaan mtu kusema tu hilo ni swala dogo sana la kuanzisha uzi unaaanza kumtuhumu chuki za dini.

Hivi kwann nyie hamnaga akili, kila muda mnawaza mnachukiwa chukiwa, nani anawachukia nyie?

Mna mindset ya kijinga sana, kila siku mnalialia tu Islamophobia.

STUPID🚮
 
Back
Top Bottom