Kumbe Aziz K muislam?

Kumbe Aziz K muislam?

Nimemuona ktk video moja akiwa msikitini siku ya ijumaa. Allah amjaalie adumu ktk ibada.
Waliokaribu nae wamshsuri asikubali tena kumvisha jezi yule dada siku ya Yanga Day.
Dini yetu inakataza mambo yale hasa zaidi hadhara ktk jamii
Dini yenu au dini ya waarabu? Wewe ni mshia au ni msuni?
Unaweza kutumia kiswahili au kiingereza kumuomba Allah? Kama haiwezekani basi mpo kwenye utumwa wa maarabu😀😀😀😀
 
Nimemuona ktk video moja akiwa msikitini siku ya ijumaa. Allah amjaalie adumu ktk ibada.
Waliokaribu nae wamshsuri asikubali tena kumvisha jezi yule dada siku ya Yanga Day.
Dini yetu inakataza mambo yale hasa zaidi hadhara ktk jamii
Kazini kwangu yupo Boss wetu mmoja akiletewa majina ya safari ni lazima ateue mwenye jina la Imani yake.
Siku akajichanganya akateua hivyohivyo kwa kuegemea imani yake lakini akamchagua jamaa ambaye jina ni la Imani yake lakini jamaa kumbe sio wa Imani yake(ni jina tu).
kibaya zaidi akamuita chemba na kumuambia wewe ni ndugu yangu katika Imani hivyo siwezi kuchagua wengine nikuache wewe, hata kitabu chetu kinatuelekeza hivyo.
Baadae alivyogundua jamaa sio wa upande wake na tayari alishamueleze ni kwanini alimchagua yeye akaona abadili gia angani kwa kuzungumza kwenye kikao cha idara na kueleza kuwa suala la safari ni haki ya kila mtu lakini muda mwingine analenga kuwainua wenye changamoto za kiuchumi na familia, KIUFUPI ALIELEZA MENGI ILA LENGO NI KUJISAFISHA KUHUSU UDINI WAKE.

Sasa wewe ninavyokusoma ninaona kabisa yule ni pacha wako
 
Yani kuna watu wanaweka kichwani kabisa mambo ya dini, Mimi kitu kikubwa ninachotembea nacho kichwani ni tabia njema iliyo na upendo ndani yake. Inaweza ikapita hata wiki nisikumbuke kama Mimi ni mkristo...
 
Wanasema wao kuwa muislamu ndugu yao ni muislamu.😀😀😀😀
Uone tofauti ya hizi dini mbili ukristo na uislamu.
Wakiwa watoto 3 wakiislamu na watoto 3 wakikristo yaani jumla ni 6.
Muislamu atawapa zawadi wale watoto 3 wa kiislamu kwanza, hata kama hao watoto 3 wakikristo wakoswe, na kama akiamua kuwapa wote basi wale watoto wa kiislamu watapewa zaidi ya wale 3 wa kikristo kwa mujibu wa dini yao yaani hapo kwa Allah amepata thawabu
Kwenye ukristo unatakiwa uwape watoto wote sawa, haijalishi ni watoto wa dini gani, wote 6 wakikristo na wakiislamu unatakiwa uwape sawa. Asiwepo mtoto au watoto waliopewa zaidi. Hapo ndiyo unapata baraka kutoka kwa Mungu wa wakristo.
Yesu anasema kama mnawalipa mema wale waliowatendea mema kuna haja gani? Kwa maana hiyo hata wenyewe dhambi nao hufanya hivyo hivyo kuwalipa mema wale wanaotendea mema ila mm nasema watendeeni mema wale wanaowatendea mabaya, mpende anayekuchukia na waombeeni baraka wale wanaowalaani na kuwachukia
 
Yani kuna watu wanaweka kichwani kabisa mambo ya dini, Mimi kitu kikubwa ninachotembea nacho kichwani ni tabia njema iliyo na upendo ndani yake. Inaweza ikapita hata wiki nisikumbuke kama Mimi ni mkristo...
Yesu anasema kama mnawalipa mema wale waliowatendea mema kuna haja gani? Kwa maana hiyo hata wenyewe dhambi nao hufanya hivyo hivyo kuwalipa mema wale wanaotendea mema ila mm nasema watendeeni mema wale wanaowatendea mabaya, mpende anayekuchukia na waombeeni baraka wale wanaowalaani na kuwachukia
 
Kumbe huna hata akili ya kukumbuka ulichokiandika humu? wewe ni nani upange kua hii mada haina maana na huu uzi haukutakiwa kuanzishwa coz umeona ni jambo la kawaida?

Kama uliona uzi hauna maana ungepita kimya,hakuna aliyekuita kuja kuchangia kwenye uzi ambao wewe umeona hauna maana,chuki zinakutafuna,huu uzi umekuchoma kama pasi.
Kuna wasomi wapumbavu sana ktk nchi hii. haiwezekani tukae tujadili dini ya aziz ki badala ya kujadili mambo ya maana. Icebreaker acha mala moja kuendekeza udini.
 
Back
Top Bottom