kamun
Member
- Dec 28, 2024
- 83
- 77
Nakwambia 🤣🤣🤣😅😅😅
Yaani na Aziz ki kuwa kwenye hiyo dini ni suala la kuandika uzi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nakwambia 🤣🤣🤣😅😅😅
Yaani na Aziz ki kuwa kwenye hiyo dini ni suala la kuandika uzi
Dini yenu au dini ya waarabu? Wewe ni mshia au ni msuni?Nimemuona ktk video moja akiwa msikitini siku ya ijumaa. Allah amjaalie adumu ktk ibada.
Waliokaribu nae wamshsuri asikubali tena kumvisha jezi yule dada siku ya Yanga Day.
Dini yetu inakataza mambo yale hasa zaidi hadhara ktk jamii
Kazini kwangu yupo Boss wetu mmoja akiletewa majina ya safari ni lazima ateue mwenye jina la Imani yake.Nimemuona ktk video moja akiwa msikitini siku ya ijumaa. Allah amjaalie adumu ktk ibada.
Waliokaribu nae wamshsuri asikubali tena kumvisha jezi yule dada siku ya Yanga Day.
Dini yetu inakataza mambo yale hasa zaidi hadhara ktk jamii
Wanasema wao kuwa muislamu ndugu yao ni muislamu.😀😀😀😀Kazini kwangu yupo Boss wetu mmoja akiletewa majina ya safari ni lazima ateue mwenye jina la Imani yake.
Siku akajichanganya akateua hivyohivyo kwa kuegemea imani yake lakini akamchagua jamaa ambaye jina ni la Imani yake lakini jamaa kumbe sio wa Imani yake(ni jina tu).
kibaya zaidi akamuita chemba na kumuambia wewe ni ndugu yangu katika Imani hivyo siwezi kuchagua wengine nikuache wewe, hata kitabu chetu kinatuelekeza hivyo.
Baadae alivyogundua jamaa sio wa upande wake na tayari alishamueleze ni kwanini alimchagua yeye akaona abadili gia angani kwa kuzungumza kwenye kikao cha idara na kueleza kuwa suala la safari ni haki ya kila mtu lakini muda mwingine analenga kuwainua wenye changamoto za kiuchumi na familia, KIUFUPI ALIELEZA MENGI ILA LENGO NI KUJISAFISHA KUHUSU UDINI WAKE.
Sasa wewe ninavyokusoma ninaona kabisa yule ni pacha wako
Yesu anasema kama mnawalipa mema wale waliowatendea mema kuna haja gani? Kwa maana hiyo hata wenyewe dhambi nao hufanya hivyo hivyo kuwalipa mema wale wanaotendea mema ila mm nasema watendeeni mema wale wanaowatendea mabaya, mpende anayekuchukia na waombeeni baraka wale wanaowalaani na kuwachukiaYani kuna watu wanaweka kichwani kabisa mambo ya dini, Mimi kitu kikubwa ninachotembea nacho kichwani ni tabia njema iliyo na upendo ndani yake. Inaweza ikapita hata wiki nisikumbuke kama Mimi ni mkristo...
Kuna wasomi wapumbavu sana ktk nchi hii. haiwezekani tukae tujadili dini ya aziz ki badala ya kujadili mambo ya maana. Icebreaker acha mala moja kuendekeza udini.Kumbe huna hata akili ya kukumbuka ulichokiandika humu? wewe ni nani upange kua hii mada haina maana na huu uzi haukutakiwa kuanzishwa coz umeona ni jambo la kawaida?
Kama uliona uzi hauna maana ungepita kimya,hakuna aliyekuita kuja kuchangia kwenye uzi ambao wewe umeona hauna maana,chuki zinakutafuna,huu uzi umekuchoma kama pasi.
Kuna wasomi wapumbavu sana ktk nchi hii. haiwezekani tukae tujadili dini ya aziz ki badala ya kujadili mambo ya maana. Icebreaker acha mala moja kuendekeza udini.