Magezi bugaga
JF-Expert Member
- Jul 7, 2021
- 1,181
- 1,594
What heck is that ? Since when unafatilia maisha ya mwanaumeNimemuona ktk video moja akiwa msikitini siku ya ijumaa. Allah amjaalie adumu ktk ibada.
Waliokaribu nae wamshsuri asikubali tena kumvisha jezi yule dada siku ya Yanga Day.
Dini yetu inakataza mambo yale hasa zaidi hadhara ktk jamii