Kumbe Aziz K muislam?

Kumbe Aziz K muislam?

Ngoja na mimi nikafungue uzi kumbe Haji Manara ni muislamu nilikuwa sijui😃
 
Kasema Mtume (s.a.w) ā€œAnamwijia mmoja wenu shetani katika sala, basi anapuliza (anampuliza) katika matako yake, basi yule mtu inamwijia fikiria ya kuwa umemtoka upepo (kajamba) nae haukumtoka, basi akiona hali hiyo asiondoke kwenye sala mpaka asikie sauti ya kumtoka huo upepo au anuse harufu yakeā€. (KITABU CHA MKWELI MWAMIU, JUZUU YA 1 -2 HADITHI NA. 74, UK 42)
Mi napita kaka.
 
Saizi mambo yamebadilika sana JF, jukwaa la jokes ambalo ni rahisi kufikiriwa kuwepo na mijadala yenye mlengo wa matani yenye matusi. Imekuwa ndivyo sivyo.

Ila siku hizi matusi mengi na mapya ambayo hujawahi kuyasikia unaweza kuyapata kwa urahisi kwenye zile nyuzi zinazojadili mambo ya dini.

Zile nyuzi zinazokutanaisha mabishano ya imani mbili. Huko ndio utakapopata kujua matusi mapya yaliyoingia mjini.

Watu wako tayari kutumia silaha yeyote kuhakikisha wanatetea dini zao ikiwemo kutumia matusi ambayo hadi dini zao zinawakataza.

Nafikiri hili jambo kwao lina perception tofauti na mafundisho ya dini.

Naona ni watu ambao wanafikiria wakifanya hivyo wanajiona kuwa nao ni sehemu ya historia miongoni mwa watu walioipigania dini.

Au wanaenzi harakati ambazo viongozi wao wa dini ambao wanawachukulia kama icon walizipitia katika kuipigania dini.

Ndio maana binafsi naamini kwenye falsafa moja kuwa ukitaka kujua morals ya dini fulani. Basi usihangaike kusoma vitabu vyake, angalia hao waumini namna wanavyo behave kwenye jamii.

Angalia hao waumini namna wanavyo wa treat wasio waumini wa dini yao. Angalia namna wanavyo socialize na watu ambao sio wa dini yao.

Hapo ndio utapata picha halisi ya ujumbe ambao uko ndani ya mafundisho yao.
 
Utofauti huu wa Imani na hii minyukano baina ya watu wenye asili moja (Afrika, Tanzania) unawezashawishika kabisa kuamini kuwa Mungu wao ndiye sisi tu namuona shetani na Mungu wetu nao ndio shetani wao.
Heko kwao waliotuletea huu mtafaruku. Wapo na akili kubwa sana
 
DINI NA MICHEZO NI VITU VIWILI TOFAUTI. VIKIINGILIANA HULETA MTAFARUKU,MIGONGANO NA KUTOELEWANA MIONGONI MWA WANAMICHEZO. SISI KAMA TAIFA TUPIGE VITA MASWALA YA UKABILA,RANGI,JINSIA,UKANDA DINI AU HALI YA MTU. MICHEZO NI URAFIKI,UDUGU NA UJAMAA,MICHEZO NI AFYA,MICHEZO HUJENGA UMOJA,MSHIKAMANO,NA,UTULIVU WA NCHI NA WANANCHI.
Naunga mkono.
Dini, makabila na kanda zetu zisiwe chanzo cha kuvunja umoja na mshikamano wetu.
 
Wewe mbwa jike mwenye jina la Asha Ngedere, ondoa hiyo avatar ya mume wako. Mayahudi wameshamuua. Halafu unaonekana unawajua wanaume wengi wa jamii forums.
Mimi namjua mpaka mamako,acha kujipendekeza kwa wanaume,utakuja kupigwa talaka na mumeo halafu utakuja kutulilia hapa kuomba ushauri.
 
Huyo kima huwa anajifanya yeye ni Asha Ngedere. Amefiwa na mume wake wa Hamas, halafu anakuja kutukana watu hovyo humu jukwaani.
Kima mamako,hilo jina la Ngedere naona limekukaa sana kisa mamako alipewa hilo jina kitaani kwenu kwa tabia zake chafu.
 
Kima mamako,hilo jina la Ngedere naona limekukaa sana kisa mamako alipewa hilo jina kitaani kwenu kwa tabia zake chafu.
Wewe Kima usichukie kuitwa Asha Ngedere. Hili jina linakufaa kwa 100%, kutokana na tabia yako ya kutukana watu hovyo humu jukwaani huku ukiwa huna sababu za msingi.
 
Mimi namjua mpaka mamako,acha kujipendekeza kwa wanaume,utakuja kupigwa talaka na mumeo halafu utakuja kutulilia hapa kuomba ushauri.
Asha Ngedere una hasira tu za kufiwa na huyo mume wako uliyemuweka kwenye avatar. Huwezi ukawa unatukana tu watu hovyo humu jukwaani. Hata kama ulizaliwa kwenye danguro, but this is too much.
 
šŸ˜…šŸ˜…šŸ˜…
Yaani na Aziz ki kuwa kwenye hiyo dini ni suala la kuandika uzi

Nimemuona ktk video moja akiwa msikitini siku ya ijumaa. Allah amjaalie adumu ktk ibada.
Waliokaribu nae wamshsuri asikubali tena kumvisha jezi yule dada siku ya Yanga Day.
Dini yetu inakataza mambo yale hasa zaidi hadhara ktk jamii
Kwahiyo watakaje Sheikh? Wataka kuwa mkewe wa 3?
 
Umeanza kuchunguza Avatar za wanaume naona,

Tatizo mimi sichezei tope,so acha kujilengesha na kujitongozesha.
Wewe Kima lini ulikuwa mwanaume? Mwanaume hawezi kuwa na mambo ya kike ya kutukana watu hovyo, badala ya kumjibu mtu kwa hoja! Mimi nimemjibu mtoa hoja kwa hoja, wewe ukanivamia kwa kunitukana. Sasa leo tutapambana mpaka kieleweke. Mbwa koko wewe usiye na mkia.

 
Huna ulichochangia pimbi wewe,ulikuja kuuponda uzi na kusema hii sio mada,kama sio mada,mbona ulileta kalio zako hapa na kushoboka? Nyuzi zipo nyingi hapa jf,ungeenda tu kwenye nyuzi zingine,acha kuwapangia watu punguani wewe.
Kima mmoja wewe, nani aliyekupa mamlaka ya kunipangia uzi wa kuchangia humu jukwaani! Uzi wenyewe kwanza hujauanzisha wewe! Sasa ni kitu gani kinakuwasha?

Asha Ngedere, hii tabia yako ya kushobokea watu usio wafahamu itakupeleka kubaya. Siku nyingine ukiona nimechangia uzi wowote ule, acha kudandia treni kwa mbele.
 
Hawa ndo wanachafua uislam halafu wanasinguzia wengine
Sasa mtu mwenye hofu ya Mungu ataandika matusi haya mtandaoni
Huyu ni kima tu mwenye mdomo mchafu uliotokana na kukosa malezi sahihi ya wazazi. Waislam mbona tupo nao humu jukwaani, na hawana ujinga kama wa huyu punguani.
 
Back
Top Bottom