Kumbe Aziz K muislam?

Kumbe Aziz K muislam?

Nimemuona ktk video moja akiwa msikitini siku ya ijumaa. Allah amjaalie adumu ktk ibada.
Waliokaribu nae wamshsuri asikubali tena kumvisha jezi yule dada siku ya Yanga Day.
Dini yetu inakataza mambo yale hasa zaidi hadhara ktk jamii
Hata Kabwili ni Muislam mwenzio, jivunie.
 
Kumbe unajua sio? Kwahiyo wewe inakuhusu nini? Mimi nilikua sijui dini ya huyo Aziz ila kupitia uzi huu nimejua,

Mbona kuna uzi humu kua lile shoga Aggrey limerudi madhahabuni ili hukutokwa povu?
Afande Rama wa Zanzibar ni Muislam mwenzako pia, endelea kushangilia.
 
Me Sina udini, me ni mkristo
Naona ni sawa mtu akiwa muislam, budha, au pagan ni suala ambalo haliwezi kunikwaza Kwa vyoyote
Au eti mtu asipokuwa mkristo nimuuwe, nijitoe mhanga ndo nikapewe mabira sijui pombe, huo ni upuuzi
Na mbaya zaidi unapewa mabikra ukiwa umekufa!
 
Umeanza kuwaonea wivu wenye bikra zao tena? Wewe bikra yako uliipoteza kwa kupewa nini?

Hii comment yako imeprove kua una chuki ya udini na huu uzi umekuuma sana,nyie makafiri hua hamuwezi kuficha chuki zenu,mpaka umeamua kujiweka wazi kabisa,umekwepa kwepa mwisho umejiweka wazi.
Umasikini mbaya sana, kijana pambania maisha yako achana na maisha ya watu. Hiyo dini haitakulipia ada wala kuleta mkate wa watoto mezani. Mmekuwa watumwa wa akili kiasi cha kuonekana machizi.
 
Nenda katafunwe choko wewe,usinitingishie kalio hapa,sitafuni machoko.
Huu ndo Uislam n'naoujua mimi sasa! Ni matusi matusi matusi!!! Aya Ustaadhi endelea kutukana upate thwawabu na mabikra 72 ukifa! Yaani mabikra unapewa "ukifa" sijui ndo uwafanye nini!?
 
Kwenye mbungi timu zetu zinawachezaji wa iman tofaut akusajiliwa kwasababu ya iman yake Waislam cristian wote wapo pale kutupa ujuzi wao kama timu imewaunganisha wa iman fofaut na mashabiki wapo ivyo ivyo sioni sababu ya UZI mambo ya propaganda za DINI sio kwenye mpira. Malaria 2 unaonekana SIMBA ww unataka kututoa kwenye reli!!!!! YANGA BINGWA.
 
Huu ndo Uislam n'naoujua mimi sasa! Ni matusi matusi matusi!!! Aya Ustaadhi endelea kutukana upate thwawabu na mabikra 72 ukifa! Yaani mabikra unapewa "ukifa" sijui ndo uwafanye nini!?
Umeamua kuja na ID nyingine naona,
Acha double standard,kwa hiyo matusi ya huyo mgalatia mwenzako hujayaona sio?
 
Kwahiyo haya matusi na kejeli ndo Uislam? Najifunza nini mimi "kafiri" ili nivutiwe na dini yako ya kweli na haki!? Kama Uislam ndo huu basi ni bora upagani.
Tumia akili japo kidogo tu,nimekuuliza kwa hiyo ID yako nyingine kua kubariki mashoga ni sawa? mimi sijatoa amri ya kubariki mashoga,kama ni kosa nenda kamlaumu papa sio mimi,
Kwanini umeakuja na ID nyingine? endelea tu na ile ile ID yako unayoitumia toka mwanzo kwenye huu uzi.
 
Umasikini mbaya sana, kijana pambania maisha yako achana na maisha ya watu. Hiyo dini haitakulipia ada wala kuleta mkate wa watoto mezani. Mmekuwa watumwa wa akili kiasi cha kuonekana machizi.
Wewe punguani leo utakuja na ID zako zote ila huwezi kuubadili ukweli,endelea kujifariji,kama maisha yamekupiga usifikiri ni wote wanateseka kama wewe.
 
Kima mmoja wewe, nani aliyekupa mamlaka ya kunipangia uzi wa kuchangia humu jukwaani! Uzi wenyewe kwanza hujauanzisha wewe! Sasa ni kitu gani kinakuwasha?

Asha Ngedere, hii tabia yako ya kushobokea watu usio wafahamu itakupeleka kubaya. Siku nyingine ukiona nimechangia uzi wowote ule, acha kudandia treni kwa mbele.
Sasa wewe mbona umejipa mamlaka ya kumpangia mleta mada kua huu uzi haukutakiwa kuletwa coz ni jambo la kawaida? hutaki kupangiwa ila wewe ndio una mamlaka ya kuwapangia wenzako sio? unajifunga mwenyewe kwa kukosa akili,unachokikataza wewe kwa wenzako ndio hicho hicho ambacho unataka wewe uwe free kukifanya?

Hivi una akili timamu kweli wewe mchicha mwiba?
 
Wewe Kima lini ulikuwa mwanaume? Mwanaume hawezi kuwa na mambo ya kike ya kutukana watu hovyo, badala ya kumjibu mtu kwa hoja! Mimi nimemjibu mtoa hoja kwa hoja, wewe ukanivamia kwa kunitukana. Sasa leo tutapambana mpaka kieleweke. Mbwa koko wewe usiye na mkia.
Safi kabisa,naona dawa imekuingia kunako,ngoja sasa nikubadilishie dozi,
Hakuna hoja uliyouliza zaidi ya kumpangia mleta mada kua hakutakiwa kuleta hii mada,una akili nyepesi sana isiyokumbuka ulichokisema mwanzo.
 
Asha Ngedere unatafuta wanaume kwa nguvu, halafu unajivunga. Mimi siyo kamanda wako wa Hamas aliyeuwawa na Mayahudi.
Toka mwanzo nilikwambia kua wewe kafiri chuki ya udini ndio iliyokufanya ukaona huu uzi hauna maana,usivyokua na akili unajiweka wazi wewe mwenyewe bila kujijua,

Anzisha mada yako inayohusu hao Hamas tutakuja kuchangia,hapa stick kwenye uzi husika.
 
Back
Top Bottom