Kumbe Aziz Ki kilichombakiza Tanzania ni Hamisa Mobeto? Licha ya ofa kibao zilizotolewa na timu kubwa Afrika zikatupwa kisa mwanamke

Kwa pesa anazolipwa Aziz K pale Yanga sidhani kama angeshindwa kumvuta Hamisa popote mm naona ni maamuzi ya mchezaji mwenyewe.

Wapo wanawake ila Mobeto hana hadhi ya kusema kwamba anaweza kumshawishi Aziz kubaki nchini
Hujui nguvu ya mbususu wewe....mfalme wa england aliachia madaraka kisa mbususu na ilikuwa sura mbaya
 
Hamisa lazima atavuta mpunga mrefu sana kwa GSM kazi aliyofanya ya kumpumbaza huyu chaijaba siyo ya kitoto, sijui limbwata la wapi hilo.
 
Yaani mnashangaza aziz k hana haja ya hamisa cha wote hapana acheni kukariri maisha . Ni hvi aziz k kaongezewa mshahara mzito .

Na kuhusu huyu hamisa wenu anatumika tu kwenye matangazo ya kumpaiza aziz k kuwa ni mchezaji bora tena anapendwa na watanzania . Maana kuna kitu anafukuzia ngoja apate anasepa .

Hamisa anafanya matangazo wote wanalipwa kwa manufaa fulani. Eti mapenzi yapi mtu anamalengo yake eti watu weusi wanapenda ngono weupe wanapenda ushoga?? Mxiuu
 
Kwa pesa anazolipwa Aziz K pale Yanga sidhani kama angeshindwa kumvuta Hamisa popote mm naona ni maamuzi ya mchezaji mwenyewe.

Wapo wanawake ila Mobeto hana hadhi ya kusema kwamba anaweza kumshawishi Aziz kubaki nchini
Ndumba zipo
 
Hao wengine hawaonekani mobeto anaonekana at the end ni lazima achukue kombe,but street zipo brand new kibao
 
Siamini km Aziz Ki ni mshamba wa mapenzi hivyoo, na km issues ni Misa, si angeenda tyuu huko kwenye offa alizopewa, na angemfata huko huko.

Misa mwenyewe anavyopenda kuswampaaa? Woiiiiiih
Afu huyu Domo na Caren imeishia wapiii? Lol
Huyu alikuwa hamli Caren alikuwa anamla shogaake na Careen na nilisikia ana mimba..anaitwa Vee sijui Vanesa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…