Jamaa_Mbishi
JF-Expert Member
- Jun 15, 2013
- 9,626
- 6,731
Hapa mpira ndiyo umekwisha kabisa, unaacha maendeleo kumuendekeza changu tena changu aliyekubuhu ushirikina na asiye na faida kwa mwanaume?Kuna video na picha zinatrend mitandaoni zikionesha Mchezaji wa Yanga na Hamisa Mabeto wakiwa katika dimbwi zito la mapenzi katika uwanja wa mazoezi
Licha ya ofa kubwa kutolewa kwa Aziz Ki bado akaona asingemuacha Mabeto mbali ya mboni ya macho yake
Sifa nyiiingi kwa injinia kumbe sivyo ,sifa ziende kwa Hamisa,chezea mapenzi bwana.
View attachment 3039887View attachment 3039888