Kumbe Aziz Ki kilichombakiza Tanzania ni Hamisa Mobeto? Licha ya ofa kibao zilizotolewa na timu kubwa Afrika zikatupwa kisa mwanamke

naamini, yanga au meneja wa aziz ametafuta mkataba mzuri kumtangaza aziz na mobeto ili asifaidike tu kwenye mpira ila kwenye advertisements. ndio lengo la kumweka mobeto, anaweza akapata pesa nyingi zaidi ya zile za kucheza. au nimewaza vibaya?
 
Hivi DC Hassan Bomboko hawezi kutumia mamlaka yake kumchukulia hatua Mobeto?
 
Siamini km Aziz Ki ni mshamba wa mapenzi hivyoo, na km issues ni Misa, si angeenda tyuu huko kwenye offa alizopewa, na angemfata huko huko.

Misa mwenyewe anavyopenda kuswampaaa? Woiiiiiih
Afu huyu Domo na Caren imeishia wapiii? Lol
Kuswampaaa ndo nn???
 
Sema wewe huna akili
Nenda ukaolewe na weupe basi
 
Baaasi kazi na kipaji kwishney kwa dogo Aziz Ki, ukishaingiza mpira na mademu umekwisha tena demu mwenyewe awe mchawi kama Hamisa ndiyo kabisaaaaa. Umeona wapi mtu kwa makusudi anakataa maendeleo ili achezewe akili na shangingi?
 
Kweli Hamisa ni mchawi, Mama Dangote ahsente kwa kutufungua macho......tunayaona wenyewe live sasa.
 
Hakuna cha offer nyingi
Hizo propaganda
 
Mamilioni anayolipwa yanabaki hapahapa Bongo kwa kuhonga πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Sji ndio vizuri mwanawane....hamisa akianzisha biashara watanufaika wengi hapa bongo.
Ila la muhimu zaidi wabongo tunataka mbegu ya ki....hilo ni jambo la taifa tena ikibidi wizara husika limpe mbinu namna gani afanye ili jamaa atuachie mtoto hapa wa kiume anayejua boli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…