Jamaa_Mbishi
JF-Expert Member
- Jun 15, 2013
- 9,626
- 6,731
Hapa mpira ndiyo umekwisha kabisa, unaacha maendeleo kumuendekeza changu tena changu aliyekubuhu ushirikina na asiye na faida kwa mwanaume?Kuna video na picha zinatrend mitandaoni zikionesha Mchezaji wa Yanga na Hamisa Mabeto wakiwa katika dimbwi zito la mapenzi katika uwanja wa mazoezi
Licha ya ofa kubwa kutolewa kwa Aziz Ki bado akaona asingemuacha Mabeto mbali ya mboni ya macho yake
Sifa nyiiingi kwa injinia kumbe sivyo ,sifa ziende kwa Hamisa,chezea mapenzi bwana.
View attachment 3039887View attachment 3039888
Nadhhani unanogesha jamvi tuuh,sieti!?Kuna video na picha zinatrend mitandaoni zikionesha Mchezaji wa Yanga na Hamisa Mabeto wakiwa katika dimbwi zito la mapenzi katika uwanja wa mazoezi
Licha ya ofa kubwa kutolewa kwa Aziz Ki bado akaona asingemuacha Mabeto mbali ya mboni ya macho yake
Sifa nyiiingi kwa injinia kumbe sivyo ,sifa ziende kwa Hamisa,chezea mapenzi bwana.
View attachment 3039887View attachment 3039888
Kwetu tunaita "kiranga".
Wamuachee alee vineeeenaaa kadri atakavyoooo maisha ndio hayahayaaa lo
Hii ya Mobeto ni kwa ajili ya vilaza ambao ndio wengi nchi hii.Kuna video na picha zinatrend mitandaoni zikionesha Mchezaji wa Yanga na Hamisa Mabeto wakiwa katika dimbwi zito la mapenzi katika uwanja wa mazoezi
Licha ya ofa kubwa kutolewa kwa Aziz Ki bado akaona asingemuacha Mabeto mbali ya mboni ya macho yake
Sifa nyiiingi kwa injinia kumbe sivyo ,sifa ziende kwa Hamisa,chezea mapenzi bwana.
View attachment 3039887View attachment 3039888
Ikiwa alilipwa kwa siri wewe umejuaje kuwa kalipwa pesa za ufisadi?Aziz amebaki yanga kwa pesa za ufisadi anazolipwa kwa siri
Chezea mapenziHiyo ya mobeto ni propaganda za kipumbavu ukweli ni kwamba hakukuwa na ofa ya maana iliyokuja kwa azizi k,hawezi kukataa milioni 90 ang'ang'anie hela ya kipuuzi yanga.wakati kwa uwezo wake sidhani kama anamiaka mitano mbele aendelee kuwana uwezo wake kama alivyokuwa nao sasa.
Muda utaongea
We ketoka ndio uliyemaliza mwenge high school 2012 ulikuwa na kiherehere ulikuwa kombi ya hklChezea mapenzi
Kuna video na picha zinatrend mitandaoni zikionesha Mchezaji wa Yanga na Hamisa Mabeto wakiwa katika dimbwi zito la mapenzi katika uwanja wa mazoezi
Licha ya ofa kubwa kutolewa kwa Aziz Ki bado akaona asingemuacha Mabeto mbali ya mboni ya macho yake
Sifa nyiiingi kwa injinia kumbe sivyo ,sifa ziende kwa Hamisa,chezea mapenzi bwana.
View attachment 3039887View attachment 3039888
Mob ni public comodity (chawote)Kuna video na picha zinatrend mitandaoni zikionesha Mchezaji wa Yanga na Hamisa Mabeto wakiwa katika dimbwi zito la mapenzi katika uwanja wa mazoezi
Licha ya ofa kubwa kutolewa kwa Aziz Ki bado akaona asingemuacha Mabeto mbali ya mboni ya macho yake
Sifa nyiiingi kwa injinia kumbe sivyo ,sifa ziende kwa Hamisa,chezea mapenzi bwana.
View attachment 3039887View attachment 3039888
Asee na zile lips vinena vitakua vinamkomaWamuachee alee vineeeenaaa kadri atakavyoooo maisha ndio hayahayaaa lo
Bila kusahau Clit... 😆😆😆🤣🤣Asee na zile lips vinena vitakua vinamkoma