Wakati yupo kwa peak walimtumia wakamuacha dunia haina huruma.
Namkubali pia ila ambacho sielewi ni kwamba anafanyiwa figisu au ana makosa kweli alifanya huko nyuma?Nampenda.
Ila naumia kuona anachofanyiwa
Kwa mm nionacho.Namkubali pia ila ambacho sielewi ni kwamba anafanyiwa figisu au ana makosa kweli alifanya huko nyuma?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna makosa amekiri au imehibitishwa na mahakama ana hatia?HUYU ALIKUWA MBAKAJI KAMA WABAKAJI WENGINE SHERIA NI MSUMENO
KUNA SEHEMU NIMESEMA KUWA NI MWENYE HATIA? MI NIMESEMA NI MBAKAJI ACHA SHERIA ICHUKUE MKONDO WAKE, YEYE NANI ATOKE WAKATI WA CORONA?? [emoji848]
Sasa unachobisha nini? Huoni kwamba unakosea kumwita ni mbakaji? Jambo lolote la jinai upaswi kulitamka mpaka mahakama itamke.KUNA SEHEMU NIMESEMA KUWA NI MWENYE HATIA? MI NIMESEMA NI MBAKAJI ACHA SHERIA ICHUKUE MKONDO WAKE, YEYE NANI ATOKE WAKATI WA CORONA?? [emoji848]
Kweli mkuuDunia haina Huruma
CC Zero IQ