Kumbe bado yupo Jela huyu Manju wa R&B?

Kumbe bado yupo Jela huyu Manju wa R&B?

Aliwagonga watoto wadogo ambao wapo umri mdogo akiwa kwenye peak,walikuwa wanamshobokea wenyewe,kesi zikaendelea wenyewe ndo wamekuja kutoa ushahidi wa enzi hizo,kwahiyo no way
Kuna makosa amekiri au imehibitishwa na mahakama ana hatia?

Sent using Jamii Forums mobile app

♡♤Life belongs to all who struggle for it♤♡♧
 
Acha avune alichokipanda,mbona kuna negros kibao ambao ni wasanii hawana kesi mfano Nas,Jay-z,the game,tyres, kwani wao si negros hadi asingiziwe huyu!!!!!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani mahakama ndizo zinazokamata watu nakuwafungulia mashtaka?.
Halafu Leo kuna mtu anasema mahakama za nchi kama marekani zinatenda haki.
Wamejawa na uonevu chuki na unyonyaji kwa watu weusi.. Mtu mweusi yeyote akiwa na mafanikio hawachelewi kumbambikia kesi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tunakuombea mwamba , wote wanaokuhukumu dunia itawaangukia , nakuamini mwamba wewe ni mtu mwema wa amani , mtu unaye lilia amani ya dunia na haki ya kila jinsia na kila mtu, lakini leo mtu huyo huyo amekugeuka, wewe ni mwamba
 
Hatimaye miaka thelathini jela,pole sana kwake,lakini pole zaidi kwa wahanga wa matendo yake maovu
Kumbe kosa lake kubwa ni kughushi cheti cha kuzaliwa cha binti aliyempa mimba akiwa na miaka 15 ili kisomeke 18 ili amuoe aepukane na kifo
 
Back
Top Bottom