Kumbe bado yupo Jela huyu Manju wa R&B?

Kumbe bado yupo Jela huyu Manju wa R&B?

Namkubali pia ila ambacho sielewi ni kwamba anafanyiwa figisu au ana makosa kweli alifanya huko nyuma?

Sent using Jamii Forums mobile app
K3si za michongo, n kweli alifanya, lakini watasha wamemkamatia ktk weakness yake,,, alikuwa anakuja juu mno,,, lazima Kuna something behind the scene ambayo hatuwezi kufahamu kwa sasa.
Mastaa wengi wanafanyaga makosa Kama yake,, lakini nadhani Kuna mahala hakwenda Kama walivotaka wao, ndio maana wakatafuta n mahala gani Yuko na weakness ili kumpatia aibu na kumpoteza.
 
may be kuna mkono wa via, new world order, etc... but am not sure
 
K3si za michongo, n kweli alifanya, lakini watasha wamemkamatia ktk weakness yake,,, alikuwa anakuja juu mno,,, lazima Kuna something behind the scene ambayo hatuwezi kufahamu kwa sasa.
Mastaa wengi wanafanyaga makosa Kama yake,, lakini nadhani Kuna mahala hakwenda Kama walivotaka wao, ndio maana wakatafuta n mahala gani Yuko na weakness ili kumpatia aibu na kumpoteza.
Kama alifanya anastahili adhabu,hayo mengine ni ziada tu hakuna namna
 
Dah washkaji zake sijui wanasemaje
FB_IMG_1657032163062.jpg
 
Back
Top Bottom