Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio kawaida ya January Na February inferior good ni mzuri sanaWakuu nipo hapa nakula balimi ndogo, sikuwa najua ni tamu kiasi hiki na bei yake ni reasonable
Kitu cha Alc 7.6%, hatari sana.Duuu! Umejaribu na ka plisner kadogo ni ka ukweli sana
Hiyo ni hatari hata bingwa haiifikiiKitu cha Alc 7.6%, hatari sana.
hahaaaaNakuelewa mkuu. Ukipoteza nauri ndipo utavijua vichochoro vyote vya kuenda home
kweli kabisaaaaNi vyuma ndo vimekaza sana.
Siku sio nyingi utasikia, kumbe mlenda ni mtamu namna hii?
kabla hujaujua uzuri wa balimi ulikuwa unatumia nini?Wakuu nipo hapa nakula balimi ndogo, sikuwa najua ni tamu kiasi hiki na bei yake ni reasonable