Ni kweli kabisa. Hata Polepole hakuwa mwana CCM bali alikuwa CHADEMA. Hata Magufuli mwenyewe alikuwa mwana NCCR Mageuzi.
Anyway mwisho wa siku sisi sote ni watanzania sioni tatizo.
Shida iko hapa; Magufuli alikuwa na vigezo vyake vya kutafuta wasaidizi wenye HULKA kama yake ya ukatili, ubaguzi, ubabe na UWONGO na uwizi.
Angalia hawa wote; Makonda (kuua na dhuluma), Ole Sabaya (kuua na dhuluma), Bashiru (propaganda za uwongo), Chalamila (vurugu na ukosefu maadili), Deus Kakoko (uwizi wa fedha), Kabudi (propaganda za uwongo), Polepole (propaganda na uzinzi), Cyprian Musiba (matusi kuropoka)