Kumbe Bashiru Ally, Katibu Mkuu Mstaafu wa CCM ni Mwanachama wa CUF?

Kumbe Bashiru Ally, Katibu Mkuu Mstaafu wa CCM ni Mwanachama wa CUF?

Pole pole aliposema unayajua ma v8 alimaanisha chama Cha masikini au matajiri.
Polepole tulizinguana Ofisini kwake nikatulia nikamdanganya jambo fulani kuwa wewe role model wangu kisiasa badae akacheka na kuagiza soda jioni tukakutana sehemu...mitaa ya Sinza Hotel Fulani hivi...

Tukamlengesha kadem kamoja ka chuo kutoka pale Diplomasia akaruka nako kumbe tunamchora ahahahahha..

Amna MTU pale
 
Marehemu huwa hasemwi vibaya ila ukweli yule marehemu alikuwa crazy. Na ndio maana hata yeye mwenyewe alikiri kuwa kichaa.
Nakumbuka siku alikuwa anampongeza waziri wake mmoja hivi
 
Marehemu huwa hasemwi vibaya ila ukweli yule marehemu alikuwa crazy. Na ndio maana hata yeye mwenyewe alikiri kuwa kichaaDa

Polepole tulizinguana Ofisini kwake nikatulia nikamdanganya jambo fulani kuwa wewe role model wangu kisiasa badae akacheka na kuagiza soda jioni tukakutana sehemu...mitaa ya Sinza Hotel Fulani hivi...

Tukamlengesha kadem kamoja ka chuo kutoka pale Diplomasia akaruka nako kumbe tunamchora ahahahahha..

Amna MTU pale
🤣🤣🤣🤣🤣 Polepole bhuanaaaaa
 
Tunamuangalia tu! Sema kanajikaza kaza kiaina!
20211213_102039.jpg

Hii unaionajeeee ukifuatilia na tukio la kuibiwaaaaa
 
Hapana Malinzi kwao ni kyaka sehemu za bunazi pale halmashauri ya wilaya ya misenyi.
Ooh! Asante sana, maeneo yale mazuri sana kiuwekezaji hasa miwa ile wanafanya out growing!

Kuna kipindi naskia ardhi ulikuwa inauzwa bei che nikatoka Dar nikakuta imepanda sana..

Familia za akina malinzi na hawa Bulembo wameenea sana maeneo haya
 
Haya nayo yalikuwa maajabu ya kufungia mwaka
Nakumbuka Lowasa nilijipenyeza kwenye kampeini zake moja pale Mbagala Zakiem, akasema Erimu erimu erimu mkinipa kura nitaleta majembe mkalime...

Dah! Nikawaza mbagala na kilimo wapi na wapi ndo tukaona Ufipa wamepigwa ahahah
 
Ooh! Asante sana, maeneo yale mazuri sana kiuwekezaji hasa miwa ile wanafanya out growing!

Kuna kipindi naskia ardhi ulikuwa inauzwa bei che nikatoka Dar nikakuta imepanda sana..

Familia za akina malinzi na hawa Bulembo wameenea sana maeneo haya
Kina Malinzi ndiyo nina uhakika kuwa wamejipanga vizuri sana kimaisha.

Hata ukifika kijijini kwao unaweza usijue kama upo kijijini labda kitakacho kustua ni migomba tu.
 
CCM babu lao hakitetereki hata ukimweka nani. Kitaenda na kitarudi kwenye reli. Sasa kinarudi kwenye reli na kuwaacha mamluki kutoka kusikojulikana au wa kimkakati.
 
Huyo Msigwa alivyo sema atakaye muunga mkono Lowasa akapimwe akili, je alivyo baadae yeye akaja kumuunga mkono, alikuja na cheti kutoka milembe cha kuonyesha amepima akili?
Mkuu, hoja za Polepole ijibiwe kwa hoja, hiyo ndio core subject.

Kuna wakati hata punda ambao hawazungumzi, ila wakizungumza, basi kuna maswali ya msingi ya kujiuliza kwanini punda leo kazungumza.
 
Hivi CCM mnakwama wapi mlijua MH. Magufuli atatawala milele au sasaa angalia ndani Kwa Hamfrey Polepole hamna KAZI kabisa sasa hiyo nyumba au Banda la kuku maisha yake kama mwanafunzi wa chuo anaeanza maisha
 
Cpangiw
Kiukweli hili sikulijua wakuu, hivi iliwezekanaje mwanachama wa CUF kuteuliwa kwenye cheo kikubwa Kabisa cha chama kingine cha KATIBU MKUU?

Ukweli huu umebainishwa na Bulembo aliyewahi kuwa Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazee wa CCM, ambayo iliwahi kushutumiwa na Kamati ya kuchunguza mali za CCM kwamba imetafuna hela na kuua shule za jumuiya hiyo.

Haya kwangu ni maajabu ya hatari sana.
 
View attachment 2042444
Hivi CCM mnakwama wapi mlijua MH. Magufuli atatawala milele au sasaa angalia ndani Kwa Hamfrey Polepole hamna KAZI kabisa sasa hiyo nyumba au Banda la kuku maisha yake kama mwanafunzi wa chuo anaeanza maisha
Acha majisifu na kujikweza kama Nape.Kichwa chako kimejaa tu fikra za ufisadi na kula rushwa.Ulitegemea Polepole alikuwa kiongozi ndio awe na Maghorofa?Kama unaijua historia ya nchi hii,maisha ya baba wa taifa,Mwl.Nyerere yalikuwa ya aina gani?
 
Back
Top Bottom