Kumbe Bashiru Ally, Katibu Mkuu Mstaafu wa CCM ni Mwanachama wa CUF?

Kumbe Bashiru Ally, Katibu Mkuu Mstaafu wa CCM ni Mwanachama wa CUF?

Kiukweli hili sikulijua wakuu, hivi iliwezekanaje mwanachama wa CUF kuteuliwa kwenye cheo kikubwa Kabisa cha chama kingine cha KATIBU MKUU...
Mkuu wewe umekuja lini kutoka mwezini- mbona siyo siri hata JPM alisema pamoja na U - CUF wake yeye ameona ndiye awe katibu mkuu wa CCM. Bashiru na Poleple walikuwa CCM kwa mkopo
 
Hivi wale wabunge wa covid-19 waliingia bungeni kwa tiketi ya chama gani?
Na hilo nalo hujui? Duh.hujui hata sifa zinazomfanya mtu awe mbunge??? Hao covid 19 wanazo??? Unataka watu lazima tujadili utoto wako???
 
Bulembo angeweza kuwa na hoja kama angetoa kadi ya uanachama ya Bashiru inayo onesha alijiunga na CUF lini, nje ya hapo ni mmoja ya wanasiasa wanaooiga kelele bila kuwa na facts...
Huyo Msigwa alivyo sema atakaye muunga mkono Lowasa akapimwe akili, je alivyo baadae yeye akaja kumuunga mkono, alikuja na cheti kutoka milembe cha kuonyesha amepima akili?
 
Ni kweli hili nalo limetuacha midogo wazi, yaani vetting ya CCM ilifeli kabisa kutambua kwamba jamaa alikuwa mwanachama wa CUF ? afu huyu mwanachama ndiyo akawasachi wezi wa mali za CCM kweli?
 
Hakuna jiwe litaachwa bila kufunuliwa madamu wenye chama chao wamerudi. Ndo tutajua yupi kiroboto na yupi kunguni.
Na hayo ndio maendeleo ya Watanzania.

Nchi inatia huruma jamani,fanyeni kazi hatutaki drama zenu,for sure inamsaidia nini common mwananchi?

So trend ni kuambiana shit tu?

Inahuzunisha.
 
Raisi wa chadema ndo cheo gani? Mwambie wakutume vizuri ya kuandika kilaza wewe
Mare umesahau mlikuwa mna mshangilia raisi, raisi, raisi, Lowassa, Lowassa, raisi, CHADEMA, CHADEMA. Sikuhizi bado Lissu mnamshamgilia hivyo hivyo. Akili zako kidogo nini? Umeisha sahau! Lo! Sasa nimekukumbusha wewe kilaza.
 
Ni Sawa na Hangaya. Wengi ndani ya Chama na serikalini hawamuungi mkono ila unafiki umewatawala waweze kulinda matumbo yao.
Hao ndiyo aina ya viongozi tulio nao.

Hadi leo hii bado sipati picha ya mawaziri wa afya wanafanya nini pale wizarani wakati wao ndiyo walikuwa wanatuambia kuwa tanzania hakuna corona.

Lkn sasa hivi ndiyo wanashinda majukwaani kutuhimiza kuchanja.

Huu ni mfano mdogo tu wa viongozi wetu kupigania matumbo yao badala ya kusimamia haki na taaluma zao.
 
Nawaza na kuwazua hiviii 2025 general election watakuw na tabia zao zilezile za UNYAMA UNYAMA, kwakweli MDA wa CCM kuitawala hii Tanganyika umekwisha aiseee, maana hii sio Tanzania ni Tanganyika
Mkuu kumbuka kuwa muda ukifika hakuna mtu yeyote yule awezae kuuzuia.
 
Mare umesahau mlikuwa mna mshangilia raisi, raisi, raisi, Lowassa, Lowassa, raisi, CHADEMA, CHADEMA. Sikuhizi bado Lissu mnamshamgilia hivyo hivyo. Akili zako kidogo nini? Umeisha sahau! Lo! Sasa nimekukumbusha wewe kilaza.
Bro kipind cha utawala wa Meku, forces was applied sanaaaaa bro kwan unadhan watu walitaka kuishi kwa mashaka
 
Back
Top Bottom