Kumbe Bashiru Ally, Katibu Mkuu Mstaafu wa CCM ni Mwanachama wa CUF?

Mbona MaCHADEMA hamumshangai Dr. Slaa amepewa Mpaka ubalozi. CHADEMA ilishakufa sasa subiri Mbowe aondoke mgawane lile pagala la ufipa.
 
Kiukweli hili sikulijua wakuu , hivi iliwezekanaje mwanachama wa cuf kuteuliwa kwenye cheo kikubwa Kabisa cha chama kingine cha KATIBU MKUU ?

Ukweli huu umebainishwa na Bulembo aliyewahi kuwa Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazee wa ccm , ambayo iliwahi kushutumiwa na Kamati ya kuchunguza mali za ccm kwamba imetafuna hela na kuua shule za jumuiya hiyo .

Haya kwangu ni maajabu ya hatari sana !
Ni kweli kabisa. Hata Polepole hakuwa mwana CCM bali alikuwa CHADEMA. Hata Magufuli mwenyewe alikuwa mwana NCCR Mageuzi.

Anyway mwisho wa siku sisi sote ni watanzania sioni tatizo.

Shida iko hapa; Magufuli alikuwa na vigezo vyake vya kutafuta wasaidizi wenye HULKA kama yake ya ukatili, ubaguzi, ubabe na UWONGO na uwizi.

Angalia hawa wote; Makonda (kuua na dhuluma), Ole Sabaya (kuua na dhuluma), Bashiru (propaganda za uwongo), Chalamila (vurugu na ukosefu maadili), Deus Kakoko (uwizi wa fedha), Kabudi (propaganda za uwongo), Polepole (propaganda na uzinzi), Cyprian Musiba (matusi kuropoka)
 
Ni kweli kabisa. Hata Polepole hakuwa mwana CCM bali alikuwa CHADEMA. Hata Magufuli mwenyewe alikuwa mwana NCCR Mageuzi.

Anyway mwisho wa siku sisi sote ni watanzania sioni tatizo.

Magufuli alikuwa na vigezo vyake vya kutafuta wasaidizi wenye HULKA kama yake ya ukatili, ubaguzi, ubabe na UWONGO na uwizi.

Angalia hawa wote; Makonda (kuua na dhuluma), Ole Sabaya (kuua na dhuluma), Bashiru (propaganda za uwongo), Chalamila (vurugu na ukosefu maadili), Deus Kakoko (uwizi wa fedha), Kabudi (propaganda za uwongo), Polepole (propaganda na uzinzi), Cyprian Musiba (matusi kuropoka)
Ni lini kakoko amekutwa na kashfa za uizi .tuache kushabia vitu
 
Kiukweli hili sikulijua wakuu , hivi iliwezekanaje mwanachama wa cuf kuteuliwa kwenye cheo kikubwa Kabisa cha chama kingine cha KATIBU MKUU ?

Ukweli huu umebainishwa na Bulembo aliyewahi kuwa Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazee wa ccm , ambayo iliwahi kushutumiwa na Kamati ya kuchunguza mali za ccm kwamba imetafuna hela na kuua shule za jumuiya hiyo .

Haya kwangu ni maajabu ya hatari sana !
Bulembo angeweza kuwa na hoja kama angetoa kadi ya uanachama ya Bashiru inayo onesha alijiunga na CUF lini, nje ya hapo ni mmoja ya wanasiasa wanaooiga kelele bila kuwa na facts.

Tupo kwenye dunia ambayo hoja inajibiwa kwa hoja bora zaidi na sio kelele za propaganda nyepesi.

Juzi, Rev. Peter Msigwa katoa changamoto nzuri, kwanini wanashindwa kujibu hoja za Polepole, cha ajabu Bulembo nae anarejea/kutumbukia kwenye genge la .... ambao wanapungukiwa na facts kwenye kujibu hoja.
 
Bulembo na Bashiru ni wahaya lkn Bashiru uhaya wake unatiliwa mashaka sana kuwa ni wa burundi
Lakini Mkuu Bulembo ni wa Kyaka(karibu na Uganda) na Bashiru ni wa Katerero yaani Kapigio ahahahah!

Bulembo kaongea utoto sana pale aliposema 'Polepole hana hela na mimi na mzidi kwa hela'

Nikajisemea moyoni, yaleee yaliyotabiliwa yametimia..CHAMA HIKI KISHAKUWA CHA MATAJIRI.

Kwaheri Ukoloni kwaheri Uhuru!
 
Burembo ni mwana ccm na kiongozi asiyeongozwa na weledi maana hana elimu.

Haya maneno ya nina ela kumzidi Polepole ni maneno ya kijinga na kishamba yakichangiwa na kukosa elimu.
 
Kiukweli hili sikulijua wakuu, hivi iliwezekanaje mwanachama wa CUF kuteuliwa kwenye cheo kikubwa Kabisa cha chama kingine cha KATIBU MKUU?

Ukweli huu umebainishwa na Bulembo aliyewahi kuwa Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazee wa CCM, ambayo iliwahi kushutumiwa na Kamati ya kuchunguza mali za CCM kwamba imetafuna hela na kuua shule za jumuiya hiyo.

Haya kwangu ni maajabu ya hatari sana !
Huyo alipewa cheo kutokana na kabila lake,ni muhaya wa Karagwe,misenye
 
Lakini Mkuu Bulembo ni wa Kyaka(karibu na Uganda) na Bashiru ni wa Katerero yaani Kapigio ahahahah!

Bulembo kaongea utoto sana pale aliposema 'Polepole hana hela na mimi na mzidi kwa hela'

Nikajisemea moyoni, yaleee yaliyotabiliwa yametimia..CHAMA HIKI KISHAKUWA CHA MATAJIRI.

Kwaheri Ukoloni kwaheri Uhuru!
Pole pole aliposema unayajua ma v8 alimaanisha chama Cha masikini au matajiri.
 
Mbona MaCHADEMA hamumshangai Dr. Slaa amepewa Mpaka ubalozi. CHADEMA ilishakufa sasa subiri Mbowe aondoke mgawane lile pagala la ufipa.
Akili zako za kuokoteza yaani hujui watu wanaongelea kitu gani.
 
Back
Top Bottom