Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,494
- 96,074
Kwenye siasa za tanzania chini ya ccm hoja kwa hoja hiyo kitu ilishazikwa kitamboBulembo angeweza kuwa na hoja kama angetoa kadi ya uanachama ya Bashiru inayo onesha alijiunga na CUF lini, nje ya hapo ni mmoja ya wanasiasa wanaooiga kelele bila kuwa na facts.
Tupo kwenye dunia ambayo hoja inajibiwa kwa hoja bora zaidi na sio kelele za propaganda nyepesi.
Juzi, Rev. Peter Msigwa katoa changamoto nzuri, kwanini wanashindwa kujibu hoja za Polepole, cha ajabu Bulembo nae anarejea/kutumbukia kwenye genge la .... ambao wanapungukiwa na facts kwenye kujibu hoja.