Katwangilo
JF-Expert Member
- Jun 10, 2021
- 759
- 738
Atajua mwenyewe, sema kanapenda sana vitoto vidogo vile ndio vinachipuka..Hapo tukisema mlipa rushwa ya ngono tutakuwa tunakosea? "Role modal" akachepuka mbele ya kamaera, hahaaa
Nafikiri plan ni kumtaka Bashiru aongee ila nawathibitishia hatoongea ila kunack ukimsikia tu anaongea ujua kunakitu kikubwa kinakuja, kunawatu watesema tu who killed the man, time will tell us!![emoji125][emoji125][emoji125]Kiukweli hili sikulijua wakuu, hivi iliwezekanaje mwanachama wa CUF kuteuliwa kwenye cheo kikubwa Kabisa cha chama kingine cha KATIBU MKUU?
Ukweli huu umebainishwa na Bulembo aliyewahi kuwa Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazee wa CCM, ambayo iliwahi kushutumiwa na Kamati ya kuchunguza mali za CCM kwamba imetafuna hela na kuua shule za jumuiya hiyo.
Haya kwangu ni maajabu ya hatari sana.
Ukishangaa ya Musa utastaajabu ya Firauni.Kiukweli hili sikulijua wakuu, hivi iliwezekanaje mwanachama wa CUF kuteuliwa kwenye cheo kikubwa Kabisa cha chama kingine cha KATIBU MKUU?
Ukweli huu umebainishwa na Bulembo aliyewahi kuwa Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazee wa CCM, ambayo iliwahi kushutumiwa na Kamati ya kuchunguza mali za CCM kwamba imetafuna hela na kuua shule za jumuiya hiyo.
Haya kwangu ni maajabu ya hatari sana.
Wewe kweli wa kupuliza . Sijui unapuliza nn?We binti hebu tuliza paniki hio.
Nafkr plan Ni kumtaka bashuru aongee ila nawathibitishia hatoongea ila kunack ukimsikia tu anaongea ujua kunakitu kikubwa kinakuja, kunawatu watesema tu who killed the man, time will tell us!![emoji125][emoji125][emoji125]
Cheap minds.Napuliza matter-call ya warembo.
Unajua gharama za kuendesha serikali 3 wewe? Hao kabudi na polepole wanatoa hela zao mfukoni kuendesha iyo serikali ya 3??
Bulembo na Bashiru ni wahaya lkn Bashiru uhaya wake unatiliwa mashaka sana kuwa ni wa burundi
Kigogo wa twitter aliwahi sema Magufuli alikua amebarikiwa magonjwa yote yasio na tiba..Wote Polepole na Magufuli ni waongo hasa kwenye takwimu. Lakini wote walikuwa wanaishi na VVU zutokanazo na ngono zembe (unprotected sex).
Hivi unaionaje ngozi ya Polepole? Au mabaka aliyokuwa nayo Mwendazake siku za mwisho? Ukuona herpe zoster?
Msijifananishe na Mwalimu nyie wote mamluki tu. Era imepita na hauitarudi tena.Acha majisifu na kujikweza kama Nape.Kichwa chako kimejaa tu fikra za ufisadi na kula rushwa.Ulitegemea Polepole alikuwa kiongozi ndio awe na Maghorofa?Kama unaijua historia ya nchi hii,maisha ya baba wa taifa,Mwl.Nyerere yalikuwa ya aina gani?
Umeweka vizuri sana.Ni kweli kabisa. Hata Polepole hakuwa mwana CCM bali alikuwa CHADEMA. Hata Magufuli mwenyewe alikuwa mwana NCCR Mageuzi.
Anyway mwisho wa siku sisi sote ni watanzania sioni tatizo.
Shida iko hapa; Magufuli alikuwa na vigezo vyake vya kutafuta wasaidizi wenye HULKA kama yake ya ukatili, ubaguzi, ubabe na UWONGO na uwizi.
Angalia hawa wote; Makonda (kuua na dhuluma), Ole Sabaya (kuua na dhuluma), Bashiru (propaganda za uwongo), Chalamila (vurugu na ukosefu maadili), Deus Kakoko (uwizi wa fedha), Kabudi (propaganda za uwongo), Polepole (propaganda na uzinzi), Cyprian Musiba (matusi kuropoka)
[emoji38][emoji38][emoji38]Hii ni hoja mfu kwani ni ya siku nyingi tangu enzi za Awamu ya tano. Haikuwa na mashiko na akawa Katibu mkuu wa CCM. Mimi binafsi naona mantiki ya anachokizungumza ila sikutegea kutoka kinywani mwake. Kwani enzi zao na wao walikuwa na mtukufu wao na walimpa sifa hadi za Mungu na Mungu akatenda. Mungu aliweke kwenye amri zake Mimi ni Bwana Mungu wako, hakuna Mungu mwingine ila mimi. Ikijitweza tu anakula kichwa ndio maana Mungu wao hakudumu kama walivyomtarajia.
Hiyo ya Polepole, propaganda na uzinzi nimecheka sana baada ya kukumbuka alivyokutwa na Ky nyumbani kwake!Ni kweli kabisa. Hata Polepole hakuwa mwana CCM bali alikuwa CHADEMA. Hata Magufuli mwenyewe alikuwa mwana NCCR Mageuzi.
Anyway mwisho wa siku sisi sote ni watanzania sioni tatizo.
Shida iko hapa; Magufuli alikuwa na vigezo vyake vya kutafuta wasaidizi wenye HULKA kama yake ya ukatili, ubaguzi, ubabe na UWONGO na uwizi.
Angalia hawa wote; Makonda (kuua na dhuluma), Ole Sabaya (kuua na dhuluma), Bashiru (propaganda za uwongo), Chalamila (vurugu na ukosefu maadili), Deus Kakoko (uwizi wa fedha), Kabudi (propaganda za uwongo), Polepole (propaganda na uzinzi), Cyprian Musiba (matusi kuropoka)
Mbona hata namba 1 ni importedKiukweli hili sikulijua wakuu, hivi iliwezekanaje mwanachama wa CUF kuteuliwa kwenye cheo kikubwa Kabisa cha chama kingine cha KATIBU MKUU?