kyanyangwe
JF-Expert Member
- Oct 31, 2018
- 1,275
- 3,316
Wote ni vipanga kwa sababu mmefaulu.Div 3 ndo kipanga kumbe, tuliopiga single digit tunaitwaje sasa?
Sasa si alikuwa anasoma huku anafanya mziki kuna interview aliwahi kufanya hta hyo 3 amejitahidi.Div 3 ndo kipanga kumbe, tuliopiga single digit tunaitwaje sasa?
KijembeDiv 3 ndo kipanga kumbe, tuliopiga single digit tunaitwaje sasa?
🤣🤣Div 3 ndo kipanga kumbe, tuliopiga single digit tunaitwaje sasa?
Ben paul, M-rap lion wote wali disco IFMJamaa namkumbuka first year pale IFM 2011/2012 , tumetoka kwenye paper ya QM namkuta pale screen saver (geti la Makumbusho) kajiinamia namuuliza vipi bro, anasema hesabu ngumu sana, sikuwahi muona tena baada ya Ile sem 1 pale chuoni
Sent from my TECNO KD6 using JamiiForums mobile app
Hutegemeana na alimaliza mwaka gani na combination gani. Kama PCM,PGM na PCB kuanzia mwaka 2010 kurudi nyuma huyo DIV III alikuwa kipangaDiv 3 ndo kipanga kumbe, tuliopiga single digit tunaitwaje sasa?
[emoji3516]Ben paul, M-rap lion wote wali disco IFM
IFM moja IFM for life [emoji23][emoji23]Jamaa namkumbuka first year pale IFM 2011/2012 , tumetoka kwenye paper ya QM namkuta pale screen saver (geti la Makumbusho) kajiinamia namuuliza vipi bro, anasema hesabu ngumu sana, sikuwahi muona tena baada ya Ile sem 1 pale chuoni
Sent from my TECNO KD6 using JamiiForums mobile app
Yani unaona Kuna BAM Tena unasema EGM . Unawahi wapi? Dr minyoooDiv 3 ya 16 tena ya EGM nayo ni Ukipanga? Labda.
Nimeona Economics, Accountancy haikuonekana.Yani unaona Kuna BAM Tena unasema EGM . Unawahi wapi? Dr minyooo