Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama vp test,usiandikie mate..Nimepita bar moja huku mtaani kwetu na nikaziona bia bingwa. Nimekumbuka kipindi zinaingia namna zilivyowaumiza watu. Mdogo wangu alizimia siku 2 baada ya kuzifakamia za bure kwenye sherehe. Sijui kama hizi za sasa ni sawa na za zamani.
Nizimike....!!
Nizimike....!!
Nimepita bar moja huku mtaani kwetu na nikaziona bia bingwa. Nimekumbuka kipindi zinaingia namna zilivyowaumiza watu. Mdogo wangu alizimia siku 2 baada ya kuzifakamia za bure kwenye sherehe. Sijui kama hizi za sasa ni sawa na za zamani.