Kumbe "Bia Bingwa" zipo?

Kumbe "Bia Bingwa" zipo?

Katavi

Platinum Member
Joined
Aug 31, 2009
Posts
42,023
Reaction score
12,811
Nimepita bar moja huku mtaani kwetu na nikaziona bia bingwa. Nimekumbuka kipindi zinaingia namna zilivyowaumiza watu. Mdogo wangu alizimia siku 2 baada ya kuzifakamia za bure kwenye sherehe. Sijui kama hizi za sasa ni sawa na za zamani.
 
Kama vp test,usiandikie mate..
 
si ndo zilkuwa na harufu ya mbolea ya bin adam?
 
mkuu hizo zpo,ila nmeziona znapatkan pembezoni mwa mji. Sasa kuna nyenzake bingwa inaitwa Eagle,itest na yenyewe...
 
Inasaidia kukata Mawasiliano kati ya Kiuno na Magoti.

images
 
zamani watu walikuwa wanapenda sana kulewa,siku hizi ni mambo ya castle lite tu
 
Nimepita bar moja huku mtaani kwetu na nikaziona bia bingwa. Nimekumbuka kipindi zinaingia namna zilivyowaumiza watu. Mdogo wangu alizimia siku 2 baada ya kuzifakamia za bure kwenye sherehe. Sijui kama hizi za sasa ni sawa na za zamani.

Bingwa! Ameingia Bingwa Mkaribisheni
 
Duh!

Usinikumbushe kabisaaaaaaaa 1997 kidogo tu kuniadhiri.
Lakini ya nyakati hii sijui kama ina mfano na ya enzi hiyo.
 
Hahahahhahhaaaaaaaaaaaaaa dah hii beer nina historia nayo aisee. Mwenzenu niliitest kwa nia ya kuondoka duniani hii beer acheni tu! Mapenzi ah!
hahahaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
Back
Top Bottom