Hivi unawajua wahindi wewe au unawasikianguvu za giza na biashara....biashara haitaweza kudumu.
Waulize wajuzi wa mambo wakwambie...........nguvu za giza na biashara....biashara haitaweza kudumu.
Bila kizizi kutoboa ni kazi sana......Dah kaka umenigusa sanaa.Haya mambo uloambiwa ya wataalamu na nn ma mm nimetoka kuambiwa hivyo hivyo jumapoil ilopita baada ya kwenda ofisn kwangu kutaka kujua what is wrong with business.Kijana wangu ambae nimemweka hapo Barbershop akaanza kuja na stori hizo hizo.Am real getting a hars time ukizangatia hizo mambo mm sipo kabisaa.
Nazongwa na mawazo yafuatayo
1.kufunga biashara na vitu kurudisha maskan wakat nawaza cha kufanya
2.kuuza bishara kama atajitokeza mtu ambaye anaweza kuendana na mazingira ya ushirikina kama sehem ya ushindani wa kibiashara
3.kuacha na kuendelea kula hasara huku nikijipa matumain ya kuwa kila biashara inapotia changamoto katika baadhi ya vipindi.
4.niache kazi ili niingie frontline kupambana mwenyewe ila sasa hapa maisha mengine yataenda vp ndio kitu kinanipa mawazo.Maana watoto wanahitaji kusoma na kodi za hapa na pale.
MZEE ACHA KABISAA.BISHARA SIO MCHEZO.MUOGOPE AU MUHESHIMU ALIEFANIKIWA KWENYE BIASHARA
Hivi unawajua wahindi wewe au unawasikia
Mi nilishawahi ona wahindi wakieka hela kwenye shimo wakachinja paka wakazika na hela humohumo..
Kuna watu wanafanya biashara kama wahindi bongo..
Haya mambo yapo na watu wanafanikiwa ila siyo ya kufanya
How much does it cost you? It costs everything
kwahiyo inamaana wafanyabishara waliofanikiwa wote wanafanya hayo mambo?Waulize wajuzi wa mambo wakwambie...........
Asilimia kubwa man...yani kama kama hujui ndo ujue sasa....kazi na dawa...kwahiyo inamaana wafanyabishara waliofanikiwa wote wanafanya hayo mambo?
sawa lakini hiyo haina maana kama usipofanya hayo mambo hautaweza kufanikiwa.Asilimia kubwa man...yani kama kama hujui ndo ujue sasa....kazi na dawa...
Ndivyo wasemavyo.Aisee nikaanza kuiangalia biashara kwa jicho tofauti sanaBila kizizi kutoboa ni kazi sana......
You have to protect you're business.........that is all about business...Ndivyo wasemavyo.Aisee nikaanza kuiangalia biashara kwa jicho tofauti sana
Huyo chalii kwenye picha ndio kale katapeli?Chukua hiyoView attachment 1101335
Hii ipo ipoje mzee mbona kama imekaa powa Sana'aHivi unawajua wahindi wewe au unawasikia
Mi nilishawahi ona wahindi wakieka hela kwenye shimo wakachinja paka wakazika na hela humohumo..
Kuna watu wanafanya biashara kama wahindi bongo..
Haya mambo yapo na watu wanafanikiwa ila siyo ya kufanya
How much does it cost you? It costs everything
Mkuu wasikutishe...biashara bila ndumba zinaenda vizuri tuDaaah ..Nimejuta kwanni nimefungua huu uzi.
Nimevunjika moyo sana wakuu.
Kumbe mambo ya biashara bila ndumba hayaendi.?
Mkuu trust me hapo kwenye iyo barbershop kuna kitu hakipo sawa...swala la ndumba na kufanikiwa kwenye biashara halipo....kuna mtu mmoja ninamfahamu alikuwa na biashara yake akawa analalamika kuwa haiendi vizuri na kudai kuwa majirani zake wanatumia ndumba kuvuta wateja wake...kwa kuwa ni ndugu yangu nilikaa pale kwenye biashara na nikagundua tatizo ni yeye mwenyewe mwenye biashara...kuna vitu vilikuwa haviendi vizuri but tatizo ni yeye mwenyewe...usitegemee ndumba kwenye biashara...kuwa innovative utatoboaDah kaka umenigusa sanaa.Haya mambo uloambiwa ya wataalamu na nn ma mm nimetoka kuambiwa hivyo hivyo jumapoil ilopita baada ya kwenda ofisn kwangu kutaka kujua what is wrong with business.Kijana wangu ambae nimemweka hapo Barbershop akaanza kuja na stori hizo hizo.Am real getting a hars time ukizangatia hizo mambo mm sipo kabisaa.
Nazongwa na mawazo yafuatayo
1.kufunga biashara na vitu kurudisha maskan wakat nawaza cha kufanya
2.kuuza bishara kama atajitokeza mtu ambaye anaweza kuendana na mazingira ya ushirikina kama sehem ya ushindani wa kibiashara
3.kuacha na kuendelea kula hasara huku nikijipa matumain ya kuwa kila biashara inapotia changamoto katika baadhi ya vipindi.
4.niache kazi ili niingie frontline kupambana mwenyewe ila sasa hapa maisha mengine yataenda vp ndio kitu kinanipa mawazo.Maana watoto wanahitaji kusoma na kodi za hapa na pale.
MZEE ACHA KABISAA.BISHARA SIO MCHEZO.MUOGOPE AU MUHESHIMU ALIEFANIKIWA KWENYE BIASHARA
ThanksMkuu trust me hapo kwenye iyo barbershop kuna kitu hakipo sawa...swala la ndumba na kufanikiwa kwenye biashara halipo....kuna mtu mmoja ninamfahamu alikuwa na biashara yake akawa analalamika kuwa haiendi vizuri na kudai kuwa majirani zake wanatumia ndumba kuvuta wateja wake...kwa kuwa ni ndugu yangu nilikaa pale kwenye biashara na nikagundua tatizo ni yeye mwenyewe mwenye biashara...kuna vitu vilikuwa haviendi vizuri but tatizo ni yeye mwenyewe...usitegemee ndumba kwenye biashara...kuwa innovative utatoboa
Kweli mkuu..chamsingi jikite kutambua tatizo nini then unafanyaje kuondokana na tatizoThanks
actually mm pia naamin hata bila ndumba mambo yaweza kwenda na ndio maana bado nawaza namna ya kutatua hii changamoto
msaada wa kichawi au wa kiMungu chief?
You have to protect you're business.........that is all about business...