Kumbe biashara ngumu sana

Kumbe biashara ngumu sana

nguvu za giza na biashara....biashara haitaweza kudumu.
Hivi unawajua wahindi wewe au unawasikia
Mi nilishawahi ona wahindi wakieka hela kwenye shimo wakachinja paka wakazika na hela humohumo..
Kuna watu wanafanya biashara kama wahindi bongo..
Haya mambo yapo na watu wanafanikiwa ila siyo ya kufanya
How much does it cost you? It costs everything
 
Dah kaka umenigusa sanaa.Haya mambo uloambiwa ya wataalamu na nn ma mm nimetoka kuambiwa hivyo hivyo jumapoil ilopita baada ya kwenda ofisn kwangu kutaka kujua what is wrong with business.Kijana wangu ambae nimemweka hapo Barbershop akaanza kuja na stori hizo hizo.Am real getting a hars time ukizangatia hizo mambo mm sipo kabisaa.
Nazongwa na mawazo yafuatayo
1.kufunga biashara na vitu kurudisha maskan wakat nawaza cha kufanya

2.kuuza bishara kama atajitokeza mtu ambaye anaweza kuendana na mazingira ya ushirikina kama sehem ya ushindani wa kibiashara

3.kuacha na kuendelea kula hasara huku nikijipa matumain ya kuwa kila biashara inapotia changamoto katika baadhi ya vipindi.

4.niache kazi ili niingie frontline kupambana mwenyewe ila sasa hapa maisha mengine yataenda vp ndio kitu kinanipa mawazo.Maana watoto wanahitaji kusoma na kodi za hapa na pale.

MZEE ACHA KABISAA.BISHARA SIO MCHEZO.MUOGOPE AU MUHESHIMU ALIEFANIKIWA KWENYE BIASHARA
Bila kizizi kutoboa ni kazi sana......
 
Hivi unawajua wahindi wewe au unawasikia
Mi nilishawahi ona wahindi wakieka hela kwenye shimo wakachinja paka wakazika na hela humohumo..
Kuna watu wanafanya biashara kama wahindi bongo..
Haya mambo yapo na watu wanafanikiwa ila siyo ya kufanya
How much does it cost you? It costs everything
Waulize wajuzi wa mambo wakwambie...........
kwahiyo inamaana wafanyabishara waliofanikiwa wote wanafanya hayo mambo?
 
Hivi unawajua wahindi wewe au unawasikia
Mi nilishawahi ona wahindi wakieka hela kwenye shimo wakachinja paka wakazika na hela humohumo..
Kuna watu wanafanya biashara kama wahindi bongo..
Haya mambo yapo na watu wanafanikiwa ila siyo ya kufanya
How much does it cost you? It costs everything
Hii ipo ipoje mzee mbona kama imekaa powa Sana'a
 
Dah kaka umenigusa sanaa.Haya mambo uloambiwa ya wataalamu na nn ma mm nimetoka kuambiwa hivyo hivyo jumapoil ilopita baada ya kwenda ofisn kwangu kutaka kujua what is wrong with business.Kijana wangu ambae nimemweka hapo Barbershop akaanza kuja na stori hizo hizo.Am real getting a hars time ukizangatia hizo mambo mm sipo kabisaa.
Nazongwa na mawazo yafuatayo
1.kufunga biashara na vitu kurudisha maskan wakat nawaza cha kufanya

2.kuuza bishara kama atajitokeza mtu ambaye anaweza kuendana na mazingira ya ushirikina kama sehem ya ushindani wa kibiashara

3.kuacha na kuendelea kula hasara huku nikijipa matumain ya kuwa kila biashara inapotia changamoto katika baadhi ya vipindi.

4.niache kazi ili niingie frontline kupambana mwenyewe ila sasa hapa maisha mengine yataenda vp ndio kitu kinanipa mawazo.Maana watoto wanahitaji kusoma na kodi za hapa na pale.

MZEE ACHA KABISAA.BISHARA SIO MCHEZO.MUOGOPE AU MUHESHIMU ALIEFANIKIWA KWENYE BIASHARA
Mkuu trust me hapo kwenye iyo barbershop kuna kitu hakipo sawa...swala la ndumba na kufanikiwa kwenye biashara halipo....kuna mtu mmoja ninamfahamu alikuwa na biashara yake akawa analalamika kuwa haiendi vizuri na kudai kuwa majirani zake wanatumia ndumba kuvuta wateja wake...kwa kuwa ni ndugu yangu nilikaa pale kwenye biashara na nikagundua tatizo ni yeye mwenyewe mwenye biashara...kuna vitu vilikuwa haviendi vizuri but tatizo ni yeye mwenyewe...usitegemee ndumba kwenye biashara...kuwa innovative utatoboa
 
Thanks
actually mm pia naamin hata bila ndumba mambo yaweza kwenda na ndio maana bado nawaza namna ya kutatua hii changamoto
 
You have to protect you're business.........that is all about business...

Kijana nimekuelewa Sana. Hawa watu wanaokataa na Kubisha kuna mawili

1. Watoto wa Mama Sanaa (Hawajawahi face and deal the streets on their own) - Daddy Mommy Type.

2. Hawako familiar with the struggle and what people are capable of doing to make their dreams come TRUE. Wanachukulia kila mtu ni hoya hoya. Na ipo siku watajifunza the hard way. (Sishangai maana niliwahi kuwa kama wao)

So wanadhani biashara ni kuweka tu mpunga and OFF you Go. *KLMY* bado hela hamuijui nyie.

Siku zote katika utafutaji lazima utie ulinzi (ribiti katika anga zako za utafutaji) sio watu wanakuja kutumia anga zako kifala fala na we upo upo tu.

Na siku mkija either kustuka anaye divert upepo wako ndio siku mtakayo zaliwa upya kifikra na kimtazamo juu ya haya maisha.

Talking of being holy, Mimi nimeimba hadi kwaya kanisani ndio maana nikasema Mungu yupo na issue za kienyeji zipo (Hakuna anayetaka kuumiza mtu na hela ya hivyo siitaki). Isipokuwa lazima utumie kitu ili mambo yaende.

...Ebana acheni nyie. In the past 10 years of my grind nimeona mengi sanaa.
 
Mimi nina toa sababu kwani nini unafanya biashara na hufanikiwi, wapi Kuna pesa na wapi amna.....nieleweke hivo ushauri wangu ni mzuri kabisa.
1. Kwanza unatakiwa ujue wateja wako ni nani na wa aina gani?

2. Mwitikio wa wateja ukoje na biashara yako.
Hapa nazungumzia mteja sio mpita njia au nazungumzia mtu mwenye uhitaji na yuko tayari kusaidiwa bidhaa au huduma na wewe yeye sasa anachukulia vipi biashara yako anasema nini, kitu gani kipo anachotaka na kipi anakosa hapo, yeye anataka kiweje, je ameridhika na huduma.
je wapo wateja wenye kutamani huduma yako ila Bei au lipo tatizo la kukufikia.

3. Soko tu ndiyo linapo kwamisha wengi jifunze kuhusu soko na timing.
Hapa angalia wapi bidhaa yako au fursa ina uhitaji zaidi.
Kuna kitu kinaitwa uhitaji na uhitaji zaidi scarcity ya kitu angalia uhitaji zaidi hiyo zaidi ndio profit faida.

4. Mwisho uza bidhaa yenye uhitaji zaidi hata kama ina faida ndogo.
 
Back
Top Bottom