Kumbe biashara ngumu sana

funguka uliyoyaona ndugu, ili nasi tupate uzoefu wa kutosha
 
leta mrejesho mkuu
kwa sasa mtaji umerudi kwa kasi ya ajabu, japo ilikua kwa tabu, mbinde na mateso ila nimefanikiwa kuurudisha mtaji wa biashara mahala pake, next phase ni kuikuza biashara yangu nayo nitaikuza kwa japo kwa mbinde vivyo hivyo.

nilichojifunza ni kwamba ukiamua kufanya kitu na ukiweka focus lazima utafanikiwa kwa hali yoyote ile.

katika hili la kukuza biashara yangu pia nitaleta mrejesho.
 
safi sana mkuu
 
Tapeli mkuu aka kuu la majambazi jamii forum aka petrol chemist aka mr .FOREX.

Mwite Ontario
Hahahah Afisa mkuu wa Forex hapa jamii forums aliewachapa watu hela za viingilio nchi nzima
 
Business za kibongo lakini, ulaya ni kanuni tu ndio zinatembeza bishara. Ukikwama kwenye kufata kanuni sahihi ujue umekwisha. Mambo ya kishoga ya kutumia hirizi na mapembe yapo Africa tu.
hata Tanzania ni kanuni tu zitafanya biashara yako inawiri mkuu, kuamini ndumba ni tatizo kubwa sana, mfano hata pale unapokosea kwenye uendeshaji wa biashara na ulitakiwa kurekebisha ili biashara iende sawia hutofanya hivyo kwani utaamini ni kwasababu umefanyiwa ndumba na biashara itazidi kudidimia.
unauza bidhaa zako bei kubwa, wateja wanavuka duka lako wanapanga foleni duka la jirani utaendelea kuamini jamaa anatumia ndumba.
ndumba zipo ila si za kuzihofia wala kuzipa nafasi kubwa kwenye mambo yako., iwe kwa kuamini au kuzitumia.
 
umemaliza
 
umemaliza,,wasomi watakubishia wakat ata practical hawajafanya..
 
kwa komenti yako hii inaonyesha we ni muajiriwa,,you dont have any f*"$ experience in bussiness
 
Mrejesho
 
kwa komenti yako hii inaonyesha we ni muajiriwa,,you dont have any f*"$ experience in bussiness
na mawazo yako inaonyesha unaamini sana ushirikina, itakuwia vigumu sana kupeleka biashara zako next level, utaishia biashara za genge tu.
 
na mawazo yako inaonyesha unaamini sana ushirikina, itakuwia vigumu sana kupeleka biashara zako next level, utaishia biashara za genge tu.
naona umeachiwa weekend unabweka tu....hahaaahhaa dogo ungekua mfanyabiashara hayo makitu wala usingebisha...ok endelea na tgts zako
 
Business za kibongo lakini, ulaya ni kanuni tu ndio zinatembeza bishara. Ukikwama kwenye kufata kanuni sahihi ujue umekwisha. Mambo ya kishoga ya kutumia hirizi na mapembe yapo Africa tu.
sasaa wazungu ndo wachawi kinyama
 
Pole sana mkuu.
 
N
Afanye nini sasa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…