Kumbe biashara ngumu sana

Kumbe biashara ngumu sana

Mkuu kama kuna docho la maana unalijua tuambiane. [emoji1488]
Ukiwaza kuwa umelogwa unakuwa umelogwa kweli hata ukijikwaa utasema ni kwakuwa umelogwa na sio kwasababu umetembea vbaya., kwenye biashara hvyo hivyo unataka uwe na mtaji mdogo ila mauzo ufanane na aliyekuzidi mtaji.,

Hakuna wa kukubadilisha zaidi ya wewe mwenyewe., kijanana mwenye ubongo unaofanya kaz sawasawa hawez kufikiri kuwa amelogwa kama hajafanya 'marking' ya kutosha. Ktk biashara.

Mwisho: kwa umri wako na akili yako je ni kweli kuwa waganga wote hawapendi wafanye biashara nao watajirike kama jeff besos? Au unaamini kuwa Aliko danfots yeye ni tajiri kwakuwa aliloga?
 
Kaka mi ni mpambanaji kuliko unavyo dhani ila nakuambiaje hizi mambo zipo acha league Joh. Sema watu hawasemi na hzi mambo zinafanywa kwa siri sana. Amini nachokuambia.

Una umri gani ??

Save This Date & Hour utaja nikumbuka siku.
 
Hii sio ligi chief hapo juu nimekuwekea facts na mwisho kuna maswali nimeuliza. Bado hujanijibu ila umeniuliza swali., na swali lenyewe cjalielewa. Umri wangu ktk biashara au umri wangu nilioishi mpaka sasa?
 
Biashara ngumu kwasababu...

1 • haujui kuuza

2 • unajaribu kuuza huduma/bidhaa watu wasizohitaji

3 • bidhaa/huduma yako haiongezi thamani kwa wanunuzi

4 • hauna Authority katika aina ya biashara unayofanya kwahiyo hakuna anayejali kuhusu business yako.

Mkuu, sasa hivi ukifanya business kwakufuata mitindo ya kizamani utafail na kuendelea kufail

Sasa hivi mambo yamebadilika we play by new rules/tricks

Watu huku wamewekeza thousands of [emoji383][emoji383] bila kujua watapata vipi wateja wakununua huduma zao.

Wanajutaaa.

Sales pamoja na Innovation ndiyo vitu vya msingi kabisa kwenye Business.

Ukifail kwenye kuuza maana yake hakuna revenue. Na kama huna revenue hakuna profit.

Simple.
Daaah umeandika siasa nyingi mno apa kaka duuh
 
Sema kunawatu ambao wamekua washakutaga wazazi wao washaga tengeneza mizizi toka kitambo watu kama hawa huwa hawajapitia msoto sana ko ukimletea habari za kufeli feli katika mishe zako kwanza watakuona huna akili. Ki ukweli kama unatafuta mafanikio mambo ni mengi wazee. Bila mambo mambo utaishia kupanda bajaj daily uendapo kazini, utaishia kuyawaza mafanikio japokuwa unapambana sanaaa inshort level yako haitafika mbali huu ndo ukweli

Japo Mimi so mganga wala hayo mambo mambo bado sijayaanza nimejalibu kutoa mchango tuu

NB;wasomi mlioajiriwa hii mada itakuwa ngumu kwa upande wenu. Sababu joto la jiwe la mtaani wanalijua vizuri wafanyabiashara
 
nililipa kodi ya miezi mitatu nikaanza biashara,
Mzigo wa kwanza tu nikapewa hovyo, nikala loss, mtaji ukapungua sana,
nikabaki na nusu mtaji, nikafuata mzigo wa pili tena, nao yakawa yale yale, mzigo hovyo, mtaji ukawa unapumulia mashine.
mzigo wa tatu mambo yakawa hovyo zaidi, biashara ipo ICU,
nimebakiza mwezi mmoja na nusu kulipa kodi nyingine ila naona kila dalili ya kushindwa kulipa hata kodi ya pango.

ila yote kwa yote hizo failure zimenipa somo zuri sana. hata kama hii biashara ikifeli nitarudi tena na naamini nitakua THE GREATEST.
MWEZI JUNE nikumbusheni nilete mrejesho.
 
biashara inahitaji uvumilivu wa hali ya juu kabisa, pia unapokuwa kwenye biashara inabidi upunguze starehe zisizo na lazima mku
 
Ndio nilichokuwa nasema mm hapo juu. Hizi mambo zipo bana. Mimi mpaka nafunguka hapa ni kwamba nimeyaona. Hahaha

Jamani mwenye upendo wa dhati anifungukie fundi wa uhakika inbox. Ahsante

Acha nionekane sio ila mm napigania haki na maslahi yangu Joh. Unafki Sipendi.
Eee man ...wadau wanasema kazi na dawa
 
Biashara ngumu kwasababu...

1 • haujui kuuza

2 • unajaribu kuuza huduma/bidhaa watu wasizohitaji

3 • bidhaa/huduma yako haiongezi thamani kwa wanunuzi

4 • hauna Authority katika aina ya biashara unayofanya kwahiyo hakuna anayejali kuhusu business yako.

Mkuu, sasa hivi ukifanya business kwakufuata mitindo ya kizamani utafail na kuendelea kufail

Sasa hivi mambo yamebadilika we play by new rules/tricks

Watu huku wamewekeza thousands of [emoji383][emoji383] bila kujua watapata vipi wateja wakununua huduma zao.

Wanajutaaa.

Sales pamoja na Innovation ndiyo vitu vya msingi kabisa kwenye Business.

Ukifail kwenye kuuza maana yake hakuna revenue. Na kama huna revenue hakuna profit.

Simple.
na finance management ni muhimu sana
 
Hahaha Mleta Mada Bado Mtoto Sanaa.

It needs a lot of courage and perseverance kuwa entrepreneur.

Hamnaga hela Rahisi Joh

Sema Ndugu Zangu (Jokes Aside)
Amini nawaambieni Uchawi Upo na Mungu Yupo.
Kama kuna mtu anajua docho la tiba za kienyeji la uhakika tuambiane maana mi mwenyewe kuna wakati si elewi elewi kabisa yani.

Unaweza ukawa in a very potential location, ume make capital yako from other sources (let say udalali) faida uka invest kwenye biz nyingine na umeweka kila kitu ila still biz inakuwa haitoki.

Mimi kwa kweli sipendi unafki lazima ipo siri bana. Please, Mwenye msaada wa dhati tuambiane inbox (PM). Hahahaha (Im Serious)
msaada wa kichawi au wa kiMungu chief?
 
Nilifungua banda la chips mambo yakawa hivi:
Nikawaajili madogo wawili wakawa wanasimamia,
Siku ya kwanza madogo wakaniambia wameuza elf 48 na viazi vimeisha, kwa kifupi biashara ilikuwa poa
Siku ya pili madogo wakanikabidhi elf sitin na kitu (achilia mbali ganji zao na zile ndogo ndogo walizokuwa wananipiga)...nikajua mambo ni mazuri...
Bwanaweee..!!!!
Mauzo yakaanza kupungua,
Mara wameuza elfu 20,
Mara wameuza elf kumi na kitu
Mara chips na mishikaki vimelala
Mara mauzo hayafiki hata elf kumi...nikiwauliza vijana kulioni ,wananiambia hata wao hawajui
Siku ya siku dogo mmoja ambaye ndo kama alikuwa incharge pale..akaniambia ameenda kwa mtaalam ameambiwa banda limepigwa giza..na jamaa mmoja hivi ambaye nae alikuwa na banda lake la chips karibu yetu...nikachoka kabisa
Dogo akaniambia inabidi nasisi
tukawange ila mambo yaende vizuri...sababu sikutilia maanani biashara ika-collapse kabisa..

Nikafungua saloni ya kiume...mambo yakawa yale yale naishia tu kulipa kodi ya chumba (maana nilikuwa napewa elf 28 kwa wiki..ambapo per day ni elf 4)..salon ipo mpaka sasa lakini kiujumla mambo ni magumu...

Nikafungua na kijiwe cha kuchoma vyuma (welding workshop) nako naona hali ni tete
Lakini nikiwauliza wadau..wanasema hizi
ngoma bila kupuliza ni mziki
Biashara ukiiendea kichwakichwa unapoteza time and resources at the same time.
nguvu za giza na biashara....biashara haitaweza kudumu.
 
Biashara ngumu kwasababu...

1 • haujui kuuza

2 • unajaribu kuuza huduma/bidhaa watu wasizohitaji

3 • bidhaa/huduma yako haiongezi thamani kwa wanunuzi

4 • hauna Authority katika aina ya biashara unayofanya kwahiyo hakuna anayejali kuhusu business yako.

Mkuu, sasa hivi ukifanya business kwakufuata mitindo ya kizamani utafail na kuendelea kufail

Sasa hivi mambo yamebadilika we play by new rules/tricks

Watu huku wamewekeza thousands of [emoji383][emoji383] bila kujua watapata vipi wateja wakununua huduma zao.

Wanajutaaa.

Sales pamoja na Innovation ndiyo vitu vya msingi kabisa kwenye Business.

Ukifail kwenye kuuza maana yake hakuna revenue. Na kama huna revenue hakuna profit.

Simple.
Hili jibu la ki desa desa kabisaa mzee.Hata hujaelewa uzi inawezekana
JAMAA hajasema kuwa hauzi.Anauza na inawezekana ama wateja.Lakin kuuza tu hai guaramtee faida.Ma hicho ndio jamaa anachokiongelea hapo FAIDA
 
Nilifungua banda la chips mambo yakawa hivi:
Nikawaajili madogo wawili wakawa wanasimamia,
Siku ya kwanza madogo wakaniambia wameuza elf 48 na viazi vimeisha, kwa kifupi biashara ilikuwa poa
Siku ya pili madogo wakanikabidhi elf sitin na kitu (achilia mbali ganji zao na zile ndogo ndogo walizokuwa wananipiga)...nikajua mambo ni mazuri...
Bwanaweee..!!!!
Mauzo yakaanza kupungua,
Mara wameuza elfu 20,
Mara wameuza elf kumi na kitu
Mara chips na mishikaki vimelala
Mara mauzo hayafiki hata elf kumi...nikiwauliza vijana kulioni ,wananiambia hata wao hawajui
Siku ya siku dogo mmoja ambaye ndo kama alikuwa incharge pale..akaniambia ameenda kwa mtaalam ameambiwa banda limepigwa giza..na jamaa mmoja hivi ambaye nae alikuwa na banda lake la chips karibu yetu...nikachoka kabisa
Dogo akaniambia inabidi nasisi
tukawange ila mambo yaende vizuri...sababu sikutilia maanani biashara ika-collapse kabisa..

Nikafungua saloni ya kiume...mambo yakawa yale yale naishia tu kulipa kodi ya chumba (maana nilikuwa napewa elf 28 kwa wiki..ambapo per day ni elf 4)..salon ipo mpaka sasa lakini kiujumla mambo ni magumu...

Nikafungua na kijiwe cha kuchoma vyuma (welding workshop) nako naona hali ni tete
Lakini nikiwauliza wadau..wanasema hizi
ngoma bila kupuliza ni mziki
Biashara ukiiendea kichwakichwa unapoteza time and resources at the same time.
Dah kaka umenigusa sanaa.Haya mambo uloambiwa ya wataalamu na nn ma mm nimetoka kuambiwa hivyo hivyo jumapoil ilopita baada ya kwenda ofisn kwangu kutaka kujua what is wrong with business.Kijana wangu ambae nimemweka hapo Barbershop akaanza kuja na stori hizo hizo.Am real getting a hars time ukizangatia hizo mambo mm sipo kabisaa.
Nazongwa na mawazo yafuatayo
1.kufunga biashara na vitu kurudisha maskan wakat nawaza cha kufanya

2.kuuza bishara kama atajitokeza mtu ambaye anaweza kuendana na mazingira ya ushirikina kama sehem ya ushindani wa kibiashara

3.kuacha na kuendelea kula hasara huku nikijipa matumain ya kuwa kila biashara inapotia changamoto katika baadhi ya vipindi.

4.niache kazi ili niingie frontline kupambana mwenyewe ila sasa hapa maisha mengine yataenda vp ndio kitu kinanipa mawazo.Maana watoto wanahitaji kusoma na kodi za hapa na pale.

MZEE ACHA KABISAA.BISHARA SIO MCHEZO.MUOGOPE AU MUHESHIMU ALIEFANIKIWA KWENYE BIASHARA
 
Back
Top Bottom