Mayor Quimby
JF-Expert Member
- Mar 13, 2021
- 4,950
- 10,977
They can’t win that case thus far, kwa IGA tuliyo sign; offer yao ipo clear.🙄 ndiyo nini ...ulicho andika...Hiyo dpw ni double trap wewe subiri kesi tu na tutalipishwa mamilioni ni njama baina ya mshitaki na mshitakiwa dhidi ta taifa letu
Simfahamu kama unafahamu unachoandika, ata Nyerere pia humuamini?Corruption ni mtoto wa ufisadi PPP ni ufisadi ni ukwapuaji wa mali ya umma kwa mfumo wa state capture....
Unataka kushauri Nini?They can’t win that case thus far, kwa IGA tuliyo sign; offer yao ipo clear.
Hakuna walichofanya performance brech ipo wazi, kwa sasa wanavuna tu DPW.
Nadhani sio lazima awe yeye katika kuwekeza ila Mwl Nyerere alimtabiriAdani ni mtoa rushwa anakataliwa Marekani huko watu wamemchunguza wakamuona muongo muongo mtoa rushwa tu.
Nyerere alitangaza kuichukia rushwa hadharani na akiishi simple life usimtumie kama muhuri wa kusafisha wapenda rushwa.
Kuna kesi Gani na DP?🙄 ndiyo nini ...ulicho andika...Hiyo dpw ni double trap wewe subiri kesi tu na tutalipishwa mamilioni ni njama baina ya mshitaki na mshitakiwa dhidi ta taifa letu
Atajwe wapi? Msikilize Mwl vizuri amewatajaNimemsilkiliza lakini sijasikia Adani au Bakhresa wakitajwa hapo😎
Tumia akili .....zitakuja kuja hizo kesi ...wewe unashindwa vipi kutambua hila na njama hata jinsi mkataba ulivyo unajieleza wazi wazi trick zilizo chezwa.K
Kuna kesi Gani na DP?
Huu wako ni ushehe YahayaTumia akili .....zitakuja kuja hizo kesi ...wewe unashindwa vipi kutambua hila na njama hata jinsi mkataba ulivyo unajieleza wazi wazi trick zilizo chezwa.
Wewe ni katoto kadogo sana kwenye hii dunia hivyo umeshindwa kujua dunia inakwenda wapi na ipo wapi.Huu wako ni ushehe Yahaya
Huu wako ni ushehe YahayaTumia akili .....zitakuja kuja hizo kesi ...wewe unashindwa vipi kutambua hila na njama hata jinsi mkataba ulivyo unajieleza wazi wazi trick zilizo chezwa.
Huyo Waziri atakuwepo madarakani kwa kipindi Gani?Wewe ni katoto kadogo sana kwenye hii dunia hivyo umeshindwa kujua dunia inakwenda wapi na ipo wapi.
Ufisadi wa hivyo siyo wa waziri tu ni state capture...kuna genge kubwa nyuma yake bila kumsahau RaisHuyo Waziri atakuwepo madarakani kwa kipindi Gani?
Hapa umeanza kujichanganyaUfisadi wa hivyo siyo wa waziri tu ni state capture...kuna genge kubwa nyuma yake bila kumsahau Rais
Unayo taarifa hii PPP inafanya vizuri sana huko CHINA?Madalali bana..., badala ya kuangalia kitu kwa merit tunaangalia kitu kwa justification yetu wenyewe kwamba ifanyike...., Moja umeelewa Nyerere alichosema (amesema Ubia sio Dhambi sasa kama mnamushobokea muhindi wa India na kumtenga wa hapa huo ni uzezeta)..., Pili tuangalie kinachofanyika kama kina Tija kwa kufanya lolote na sio kuingia PPPs kwa sababu tu ni PPPs na kuna ka percent tunapata...
PPP's / UBIA sio jambo Jipya Nchini; Wakati tunaingia mazima mazima ni Vema tukaangalia na Matokeo ya huko Nyuma
Binafsi ni Muumini wa Ushindani; ingawa kwenye Huduma ni Vema UMMA ukawa na Umiliki na kama inawezekana UMMA huo ushindane kwenye Soko Huria na Watu Binafsi..., Na Sekta hizo ambazo UMMA ni vema kuwa na UMILIKI ni NISHATI (TANESCO), USAFIRI, MAKAZI (NHC); BANKING na kwa sasa MAWASILIANO (kupitia...www.jamiiforums.com
Lakini walau alitambua ukweli wa mamboThis is just a political statement,
Angeweza kuwarudishia Mali zao waziendeshe ila hakufanya hivo.
Hayo ni majibu mepesi kwenye mada nzito.
So what ? Kila kitu kinahitaji na kinategemea mazingira na kama kuna transparency hakuna kitu kitafanya vibaya..., ngoja nikupe mfano wa PPPs katika uhalisia na ubora wake..., mfano kuna shida ya usafiri wa kwenda huko kijijini..., Serikali haina pesa wala mpango wa kutengeneza hio Barabara anakuja mtu binafsi anasema mimi hapa naweza kujenga barabara na mapato ya kupita hapa takuwa nachukua kama faida kwa miaka thelasini baada ya hapo barabara inakuwa ya serikali (Serikali inatoa ardhi ambayo ingeendelea kuwa pori ila after 30 years inakuwa yake) na mtu anapata faida kulingana na alivyoona kwamba kuna need....Unayo taarifa hii PPP inafanya vizuri sana huko CHINA?