Kumbe bilionea Bakhresa na Adani Gautam kuwekeza Tanzania lilikuwa ni hitaji la Hayati Mwl. Nyerere!

Kumbe bilionea Bakhresa na Adani Gautam kuwekeza Tanzania lilikuwa ni hitaji la Hayati Mwl. Nyerere!

🙄 ndiyo nini ...ulicho andika...Hiyo dpw ni double trap wewe subiri kesi tu na tutalipishwa mamilioni ni njama baina ya mshitaki na mshitakiwa dhidi ta taifa letu
They can’t win that case thus far, kwa IGA tuliyo sign; offer yao ipo clear.

Hakuna walichofanya performance brech ipo wazi, kwa sasa wanavuna tu DPW.
 
Adani ni mtoa rushwa anakataliwa Marekani huko watu wamemchunguza wakamuona muongo muongo mtoa rushwa tu.

Nyerere alitangaza kuichukia rushwa hadharani na akiishi simple life usimtumie kama muhuri wa kusafisha wapenda rushwa.
Nadhani sio lazima awe yeye katika kuwekeza ila Mwl Nyerere alimtabiri
 
Madalali bana..., badala ya kuangalia kitu kwa merit tunaangalia kitu kwa justification yetu wenyewe kwamba ifanyike...., Moja umeelewa Nyerere alichosema (amesema Ubia sio Dhambi sasa kama mnamushobokea muhindi wa India na kumtenga wa hapa huo ni uzezeta)..., Pili tuangalie kinachofanyika kama kina Tija kwa kufanya lolote na sio kuingia PPPs kwa sababu tu ni PPPs na kuna ka percent tunapata...

This is just a political statement,

Angeweza kuwarudishia Mali zao waziendeshe ila hakufanya hivo.

Hayo ni majibu mepesi kwenye mada nzito.
 
Madalali bana..., badala ya kuangalia kitu kwa merit tunaangalia kitu kwa justification yetu wenyewe kwamba ifanyike...., Moja umeelewa Nyerere alichosema (amesema Ubia sio Dhambi sasa kama mnamushobokea muhindi wa India na kumtenga wa hapa huo ni uzezeta)..., Pili tuangalie kinachofanyika kama kina Tija kwa kufanya lolote na sio kuingia PPPs kwa sababu tu ni PPPs na kuna ka percent tunapata...

Unayo taarifa hii PPP inafanya vizuri sana huko CHINA?
 
Huu uzi mwazoni sikuw nimeuelewa ila baada ya kuurudia vizuri nimeon vile vi-ID vinavyolipwa na Kafulila kuja kupigia debe utapeli wake.

Niwaambie tu siku zote ukiona mkataba unapigiwa sana kelele ufanywe siri jua siku moja ukweli utajulikana.

Leo nchi ina viporo vya kutosha ICSID kwa sababu ya wajinga wachache kutokana na maslahi ya matumbo yao.
 
Unayo taarifa hii PPP inafanya vizuri sana huko CHINA?
So what ? Kila kitu kinahitaji na kinategemea mazingira na kama kuna transparency hakuna kitu kitafanya vibaya..., ngoja nikupe mfano wa PPPs katika uhalisia na ubora wake..., mfano kuna shida ya usafiri wa kwenda huko kijijini..., Serikali haina pesa wala mpango wa kutengeneza hio Barabara anakuja mtu binafsi anasema mimi hapa naweza kujenga barabara na mapato ya kupita hapa takuwa nachukua kama faida kwa miaka thelasini baada ya hapo barabara inakuwa ya serikali (Serikali inatoa ardhi ambayo ingeendelea kuwa pori ila after 30 years inakuwa yake) na mtu anapata faida kulingana na alivyoona kwamba kuna need....

Ila uhalisia kwa Afrika na kwingineko watu wanaingia mikataba ya ajabu na hata jambo ambalo Serikali ingeweza kufanya au ilikuwa inafanya mtu anakopea hio asset ya serikali na anafanya (mwisho wa siku akipata hasara au ikienda ndivyo sivyo anapewa ruzuku kwa kodi ya serikali ili aendelee kula) au mradi unakuwa white elephant wenye madeni unaishia kupigwa mnada kwa bei ndogo na walewale wananunua..., In short PPPs ina loopholes kibao za upigaji

Back
Top Bottom