Kumbe bilionea Bakhresa na Adani Gautam kuwekeza Tanzania lilikuwa ni hitaji la Hayati Mwl. Nyerere!

View attachment 3169359

Tofauti sana na watu wengi walivyofikiri kuwa Hayati Mwl JK. Nyerere hakutaka sekta binafsi PPP, Hii si kweli,

Ukweli wa wazi MwL JK. Nyerere aliamini zaidi katika sekta binafsi kuwa ni ndio msingi pekee wa kuleta mtaji na zaidi sana kuchochea ufanisi katika usimamizi na uendeshaji wa Serikali yake Leo ni zaidi ya miaka sitini (60) imepita mawazo ya Mzee huyu yanaingia katika utekelezwaji rasmi.

Kwa msiofahamu moja ya jambo ambalo Mzee huyu alilikiri hadharani tena Waziwazi kufanya makosa katika awamu yake ni kupoka Mali za sekta binafsi kama Mashamba ya mkonge, Pamba, Kahawa kutoka sekta binafsi na kuyarudisha Serikalini, hili lilikuwa ni kosa kubwa la kiufundi mtakumbuka kabla ya hiki Tanzania tulikuwa ndio vinara wa Mkonge duniani leo majibu sote tunayo.

Swala jingine ambalo Mzee alijutia baada ya kung'atuka madarakani ni kuufanya ushirika uendeshwe na Serikali badala ya kujiendesha wenyewe kama sekta binafsi nadhani madhara haya hata Leo bado yanaonekana.

Wakati flani nikimkumbuka Hayati Mwl JK Nyerere, nikikumbuka maono yake hasa haya ya Ubia huwa napata faraja sana ninapomwona Rais Dkt Samia Suluhu Hassan akipita mulemule na hii ni baada ya miaka 60 kupita Leo hakika hakuna kama Samia.

Hoja fikirishi zaidi kwa wasomaji wangu, "Kama Muasisi wa Taifa hili hakuwa na Wasiwasi juu ya wahindi wala Wapemba au Wawekezaji wengine wowote wazawa wa Ubia nyie wengine hofu yenu mnaitoa wapi juu ya hii PPP kama sio kutuchelewesha kama Taifa?"
Kwa hiyo umetumwa uje utetee utapeli wa adani hapa jukwaani
 
Ukiona ccm wanapigia upatu PPP ujue serekali iko hoi kugharamia miradi mikubwa

Setrkali kama Ina vyanzo vya uhakika vya mapato hakuna haja ya PPP

Sasa linachotokea ni kuwa ccm wameuza rasilimali zote nchi Haina mapato

Wana haha kufinance miradi next financial year ndo eti wamekuja na ubunifu wa PPP

Sisi wenye nchi tunasema
Maccm mnaojimilikisha rasilimali za wananchi mzirudishe haraka. Kabla hatujazirudisha kwa nguvu
 
Tatizo mwenye uelewa mdogo anaposoma mawazo yako anaingia kichwa kichwa anaamini anachokisoma, linakuwa ni taifa lenye wajinga wengi wanaoongozana kila siku.

Hakuna rasilimali ya nchi yenye kuweza kuuzwa, ni biashara za kupangishana na kukodishana zenye lengo la kuongeza pato la taifa.

Ule uzembe kuwa kichaka na sisi wenyeji kupewa nafasi za kuendesha mashirika na taasisi halafu mwisho wa siku tija haipo na wizi mkubwa unaendelezwa, unakwenda ukifikia mwisho wake.
 
Ukiona ccm wanapigia upatu PPP ujue serekali iko hoi kugharamia miradi mikubwa

Setrkali kama Ina vyanzo vya uhakika vya mapato hakuna haja ya PPP

Sasa linachotokea ni kuwa ccm wameuza rasilimali zote nchi Haina mapato

Wana haha kufinance miradi next financial year ndo eti wamekuja na ubunifu wa PPP

Sisi wenye nchi tunasema
Maccm mnaojimilikisha rasilimali za wananchi mzirudishe haraka. Kabla hatujazirudisha kwa nguvu
China ndio inaongoza kwa PPP duniani, Unamaini Gani kuhusu hili
 
Marehemu huwa hasemwi kwa mabaya
Ukiwa kiongozi ni tofauti,

Watu watakusoma kwenye historia, then watajifunza mazuri yako na mabaya yako

Hii itasaidia kuendelea mazuri yako kama kiongozi na kujiepusha na mabaya yako kama kiongozi,

Unafiki wetu ndo unatufanya tuendelee kurudia makosa yaleyale.

Tuache unafiki, tumpongeze kwa mazuri yake na tujiepushe na mabaya yake
 
Mabaya kama yapi kwa mfano?
Nyerere alikuwa ni binadamu wa tofauti sana tujifunze kutoka kwake.
 
View attachment 3169359

Tofauti sana na watu wengi walivyofikiri kuwa Hayati Mwl JK. Nyerere hakutaka sekta binafsi PPP, Hii si kweli,

Ukweli wa wazi MwL JK. Nyerere aliamini zaidi katika sekta binafsi kuwa ni ndio msingi pekee wa kuleta mtaji na zaidi sana kuchochea ufanisi katika usimamizi na uendeshaji wa Serikali yake Leo ni zaidi ya miaka sitini (60) imepita mawazo ya Mzee huyu yanaingia katika utekelezwaji rasmi.

Kwa msiofahamu moja ya jambo ambalo Mzee huyu alilikiri hadharani tena Waziwazi kufanya makosa katika awamu yake ni kupoka Mali za sekta binafsi kama Mashamba ya mkonge, Pamba, Kahawa kutoka sekta binafsi na kuyarudisha Serikalini, hili lilikuwa ni kosa kubwa la kiufundi mtakumbuka kabla ya hiki Tanzania tulikuwa ndio vinara wa Mkonge duniani leo majibu sote tunayo.

Swala jingine ambalo Mzee alijutia baada ya kung'atuka madarakani ni kuufanya ushirika uendeshwe na Serikali badala ya kujiendesha wenyewe kama sekta binafsi nadhani madhara haya hata Leo bado yanaonekana.

Wakati flani nikimkumbuka Hayati Mwl JK Nyerere, nikikumbuka maono yake hasa haya ya Ubia huwa napata faraja sana ninapomwona Rais Dkt Samia Suluhu Hassan akipita mulemule na hii ni baada ya miaka 60 kupita Leo hakika hakuna kama Samia.

Hoja fikirishi zaidi kwa wasomaji wangu, "Kama Muasisi wa Taifa hili hakuwa na Wasiwasi juu ya wahindi wala Wapemba au Wawekezaji wengine wowote wazawa wa Ubia nyie wengine hofu yenu mnaitoa wapi juu ya hii PPP kama sio kutuchelewesha kama Taifa?"
Ninaimani sana na Bwana David Kafulila
 
Nyerere bwana"haambiliki"
 
Ukiona ccm wanapigia upatu PPP ujue serekali iko hoi kugharamia miradi mikubwa

Setrkali kama Ina vyanzo vya uhakika vya mapato hakuna haja ya PPP

Sasa linachotokea ni kuwa ccm wameuza rasilimali zote nchi Haina mapato

Wana haha kufinance miradi next financial year ndo eti wamekuja na ubunifu wa PPP

Sisi wenye nchi tunasema
Maccm mnaojimilikisha rasilimali za wananchi mzirudishe haraka. Kabla hatujazirudisha kwa nguvu
CHADEMA mmekuwa kama vichwa😆
 
View attachment 3169359

Tofauti sana na watu wengi walivyofikiri kuwa Hayati Mwl JK. Nyerere hakutaka sekta binafsi PPP, Hii si kweli,

Ukweli wa wazi MwL JK. Nyerere aliamini zaidi katika sekta binafsi kuwa ni ndio msingi pekee wa kuleta mtaji na zaidi sana kuchochea ufanisi katika usimamizi na uendeshaji wa Serikali yake Leo ni zaidi ya miaka sitini (60) imepita mawazo ya Mzee huyu yanaingia katika utekelezwaji rasmi.

Kwa msiofahamu moja ya jambo ambalo Mzee huyu alilikiri hadharani tena Waziwazi kufanya makosa katika awamu yake ni kupoka Mali za sekta binafsi kama Mashamba ya mkonge, Pamba, Kahawa kutoka sekta binafsi na kuyarudisha Serikalini, hili lilikuwa ni kosa kubwa la kiufundi mtakumbuka kabla ya hiki Tanzania tulikuwa ndio vinara wa Mkonge duniani leo majibu sote tunayo.

Swala jingine ambalo Mzee alijutia baada ya kung'atuka madarakani ni kuufanya ushirika uendeshwe na Serikali badala ya kujiendesha wenyewe kama sekta binafsi nadhani madhara haya hata Leo bado yanaonekana.

Wakati flani nikimkumbuka Hayati Mwl JK Nyerere, nikikumbuka maono yake hasa haya ya Ubia huwa napata faraja sana ninapomwona Rais Dkt Samia Suluhu Hassan akipita mulemule na hii ni baada ya miaka 60 kupita Leo hakika hakuna kama Samia.

Hoja fikirishi zaidi kwa wasomaji wangu, "Kama Muasisi wa Taifa hili hakuwa na Wasiwasi juu ya wahindi wala Wapemba au Wawekezaji wengine wowote wazawa wa Ubia nyie wengine hofu yenu mnaitoa wapi juu ya hii PPP kama sio kutuchelewesha kama Taifa?"
Kafulila kama Nyerere
 
Back
Top Bottom