Mtanzania Tajiri
JF-Expert Member
- Aug 31, 2024
- 341
- 319
- Thread starter
-
- #121
Sema wabongo tunapenda sana umbea kama anavyosema PST MwmaposaWabongo tuna endekeza sana habari mbovu kwa lengo la kuhalalisha udhaifu wetu na kuhalalisha ile sifa ya kutopenda kutafuta maarifa mengi yenye kuenda sambamba na dunia ya kisasa.
Hapo sababu akuwa dini yake(mvaa kobazi)Wewe ni Mtanzania Kweli?
Ni balaa kabisa hiloHapo sababu akuwa dini yake(mvaa kobazi)
Kwa hiyo umetumwa uje utetee utapeli wa adani hapa jukwaaniView attachment 3169359
Tofauti sana na watu wengi walivyofikiri kuwa Hayati Mwl JK. Nyerere hakutaka sekta binafsi PPP, Hii si kweli,
Ukweli wa wazi MwL JK. Nyerere aliamini zaidi katika sekta binafsi kuwa ni ndio msingi pekee wa kuleta mtaji na zaidi sana kuchochea ufanisi katika usimamizi na uendeshaji wa Serikali yake Leo ni zaidi ya miaka sitini (60) imepita mawazo ya Mzee huyu yanaingia katika utekelezwaji rasmi.
Kwa msiofahamu moja ya jambo ambalo Mzee huyu alilikiri hadharani tena Waziwazi kufanya makosa katika awamu yake ni kupoka Mali za sekta binafsi kama Mashamba ya mkonge, Pamba, Kahawa kutoka sekta binafsi na kuyarudisha Serikalini, hili lilikuwa ni kosa kubwa la kiufundi mtakumbuka kabla ya hiki Tanzania tulikuwa ndio vinara wa Mkonge duniani leo majibu sote tunayo.
Swala jingine ambalo Mzee alijutia baada ya kung'atuka madarakani ni kuufanya ushirika uendeshwe na Serikali badala ya kujiendesha wenyewe kama sekta binafsi nadhani madhara haya hata Leo bado yanaonekana.
Wakati flani nikimkumbuka Hayati Mwl JK Nyerere, nikikumbuka maono yake hasa haya ya Ubia huwa napata faraja sana ninapomwona Rais Dkt Samia Suluhu Hassan akipita mulemule na hii ni baada ya miaka 60 kupita Leo hakika hakuna kama Samia.
Hoja fikirishi zaidi kwa wasomaji wangu, "Kama Muasisi wa Taifa hili hakuwa na Wasiwasi juu ya wahindi wala Wapemba au Wawekezaji wengine wowote wazawa wa Ubia nyie wengine hofu yenu mnaitoa wapi juu ya hii PPP kama sio kutuchelewesha kama Taifa?"
Tatizo mwenye uelewa mdogo anaposoma mawazo yako anaingia kichwa kichwa anaamini anachokisoma, linakuwa ni taifa lenye wajinga wengi wanaoongozana kila siku.Ukiona ccm wanapigia upatu PPP ujue serekali iko hoi kugharamia miradi mikubwa
Setrkali kama Ina vyanzo vya uhakika vya mapato hakuna haja ya PPP
Sasa linachotokea ni kuwa ccm wameuza rasilimali zote nchi Haina mapato
Wana haha kufinance miradi next financial year ndo eti wamekuja na ubunifu wa PPP
Sisi wenye nchi tunasema
Maccm mnaojimilikisha rasilimali za wananchi mzirudishe haraka. Kabla hatujazirudisha kwa nguvu
China ndio inaongoza kwa PPP duniani, Unamaini Gani kuhusu hiliUkiona ccm wanapigia upatu PPP ujue serekali iko hoi kugharamia miradi mikubwa
Setrkali kama Ina vyanzo vya uhakika vya mapato hakuna haja ya PPP
Sasa linachotokea ni kuwa ccm wameuza rasilimali zote nchi Haina mapato
Wana haha kufinance miradi next financial year ndo eti wamekuja na ubunifu wa PPP
Sisi wenye nchi tunasema
Maccm mnaojimilikisha rasilimali za wananchi mzirudishe haraka. Kabla hatujazirudisha kwa nguvu
Achana na china wewe, sisi tunazovrasilimali tuzitumie hizoChina ndio inaongoza kwa PPP duniani, Unamaini Gani kuhusu hili
Ukiwa kiongozi ni tofauti,Marehemu huwa hasemwi kwa mabaya
Tafuta hela, Mwinyi mwenyewe Mbara na anajitwalia tu ardhi Zanzibar anavyopenda.Kwanini Wabara Zanzibar wananyanyaswa hasa kwenye umiliki wa Ardhi?
Mabaya kama yapi kwa mfano?Ukiwa kiongozi ni tofauti,
Watu watakusoma kwenye historia, then watajifunza mazuri yako na mabaya yako
Hii itasaidia kuendelea mazuri yako kama kiongozi na kujiepusha na mabaya yako kama kiongozi,
Unafiki wetu ndo unatufanya tuendelee kurudia makosa yaleyale.
Tuache unafiki, tumpongeze kwa mazuri yake na tujiepushe na mabaya yake
Kwani Sheria haimuruhusu?Tafuta hela, Mwinyi mwenyewe Mbara na anajitwalia tu ardhi Zanzibar anavyopenda.
Ni jambo jema kujifunza kwa waliofanikiwaAchana na china wewe, sisi tunazovrasilimali tuzitumie hizo
Ninaimani sana na Bwana David KafulilaView attachment 3169359
Tofauti sana na watu wengi walivyofikiri kuwa Hayati Mwl JK. Nyerere hakutaka sekta binafsi PPP, Hii si kweli,
Ukweli wa wazi MwL JK. Nyerere aliamini zaidi katika sekta binafsi kuwa ni ndio msingi pekee wa kuleta mtaji na zaidi sana kuchochea ufanisi katika usimamizi na uendeshaji wa Serikali yake Leo ni zaidi ya miaka sitini (60) imepita mawazo ya Mzee huyu yanaingia katika utekelezwaji rasmi.
Kwa msiofahamu moja ya jambo ambalo Mzee huyu alilikiri hadharani tena Waziwazi kufanya makosa katika awamu yake ni kupoka Mali za sekta binafsi kama Mashamba ya mkonge, Pamba, Kahawa kutoka sekta binafsi na kuyarudisha Serikalini, hili lilikuwa ni kosa kubwa la kiufundi mtakumbuka kabla ya hiki Tanzania tulikuwa ndio vinara wa Mkonge duniani leo majibu sote tunayo.
Swala jingine ambalo Mzee alijutia baada ya kung'atuka madarakani ni kuufanya ushirika uendeshwe na Serikali badala ya kujiendesha wenyewe kama sekta binafsi nadhani madhara haya hata Leo bado yanaonekana.
Wakati flani nikimkumbuka Hayati Mwl JK Nyerere, nikikumbuka maono yake hasa haya ya Ubia huwa napata faraja sana ninapomwona Rais Dkt Samia Suluhu Hassan akipita mulemule na hii ni baada ya miaka 60 kupita Leo hakika hakuna kama Samia.
Hoja fikirishi zaidi kwa wasomaji wangu, "Kama Muasisi wa Taifa hili hakuwa na Wasiwasi juu ya wahindi wala Wapemba au Wawekezaji wengine wowote wazawa wa Ubia nyie wengine hofu yenu mnaitoa wapi juu ya hii PPP kama sio kutuchelewesha kama Taifa?"
Nyerere bwana"haambiliki"View attachment 3169359

Nyerere kakosea wapi?Nyerere bwana"haambiliki"
Mzee amestahili heshima zaidiRest easy jabali la maono,
Hii hotuba utadhani ni ya wiki jana
CHADEMA mmekuwa kama vichwa😆Ukiona ccm wanapigia upatu PPP ujue serekali iko hoi kugharamia miradi mikubwa
Setrkali kama Ina vyanzo vya uhakika vya mapato hakuna haja ya PPP
Sasa linachotokea ni kuwa ccm wameuza rasilimali zote nchi Haina mapato
Wana haha kufinance miradi next financial year ndo eti wamekuja na ubunifu wa PPP
Sisi wenye nchi tunasema
Maccm mnaojimilikisha rasilimali za wananchi mzirudishe haraka. Kabla hatujazirudisha kwa nguvu
UbaguziHapo sababu akuwa dini yake(mvaa kobazi)
Kafulila kama NyerereView attachment 3169359