Kumbe bilionea Bakhresa na Adani Gautam kuwekeza Tanzania lilikuwa ni hitaji la Hayati Mwl. Nyerere!

R.IP Mwenye heri wa Mungu, naamini Kuna siku watakutangaza mtakatifu
 
Kwahiyo Kafulila kama Nyerere?
 
Wewe unaijua vizuri historia ya Tanzània na Mwalimu Nyerere
 
Adan ni mwizi na mtoa rushwa refer Kenya and USA.
 
K
Enzi za Nyerere ubia ulikuwa wa haki pande zote tofauti na ubia unaoingiwa kipindi hiki Cha awamu ya mama Samia ambapo mwekezaji wa nje hunufaika zaidi kuliko Nchi yetu nzuri ya Tanzania.Anataka wajukuu wetu wasikute chochote
Kwenye Dhahabu na Gesi yetu ni Mama Samia au walikuwa wengine ??!
Nimesahau kidogo wajameni 😳🙄!
 
Kwani Ugumu uko kwenye Nini?


Mfano nilikuuliza ni kipi DPW wamefanya hapo hukujibu. Hiyo ndio offer yao.

Sasa uoni kama wamejiokotea bandari tu bure. Na hao hakina Adani.

Wanavuna tu kazi kubwa ambayo aliifanya Magufuli; wao kurudisha usimamizi imara ambao ulizembea chini ya Samia.

Au kuna investment gani ya PPP ambayo wewe unaweza justify zaidi ya kutetea ujinga tu.
 
Hebu Lete taarifa zote za mapato kabla na baada ya DPW
 
Hebu Lete taarifa zote za mapato kabla na baada ya DPW
Taahira wewe hujui unachotetea, kabla ya DPW bandari ilikuwa inatoa gawio la karibu tsh 500 billion.

Hiyo kabla ya Magufuli kuwawekea cranes na kuwaongezea kina cha port, angekuwa hai yeye mwenyewe sasa hivi wangekuwa wanatoa gawio la kati ya tsh 700 billion au trillion moja.

Huna unalojua zaidi ya kuja kutuandikia ujinga humu.

Magufuli amefariki pamoja na kuongeza vifaa vya ufanisi mapato yameshuka mpaka gawio la billioni 150.

Aaargh nchi ya kipuuzi sijapata ona. Unatetea PPP una hata uwezo wa ku-justify za kutuandikia ujinga humu.
 
Bandari ni lini iliwahi kutoa gawio la TZS 500bn kwa Serikali?

Naomba source ya hiyo taarifa yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…