Kumbe bilionea Bakhresa na Adani Gautam kuwekeza Tanzania lilikuwa ni hitaji la Hayati Mwl. Nyerere!

Bandari ni lini iliwahi kutoa gawio la TZS 500bn kwa Serikali?

Naomba source ya hiyo taarifa yako
Embu nenda katafute magawio waliokuwa wanatoa zama Magufuli.

That’s beside the point hujui hata DPW ilikuwa wanawekeza nini hadi kupewa hiyo bandari kama sehemu ya return of investment.

Uwa mnakuja kutuandikia ujinga humu wa mambo msiyoyaelewa you actually think wachangiaji wa JF kama huko kiiiijinj kwenu.

Ukiulizwa maswali badala ya kujibu, halafu unataka watu wazungumze hoja za PPP.

Mną audience zenu, sio kwamba JF aina watu wa kujibu ujinga wenu sio mimi tu, wapo wengi; isipokuwa some people don’t have the time ku-deal na mambo ya kitoto.
 
Ivi unafahamu PPP inakipengele pia Cha "Service"

Hapa watu wanakuja na vitabu tu na computer,

Twende polepole utaelewa tu,

Data za devident wakati wa Magufuli ninazo ila nilitaka wewe ndio uzilete naona umekwepa,
 
Kafulila anafanya kama Mwalimu
 
Unajichanganya sana
 
PPP
 
Samia 100
 
Samia mitano tena
 
Wabongo hupenda kushabikia vitu vya ajabu ajabu
 
Hongera sana PPPC tunahitaji Tanzània yenye Uchumi jumuifu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…