BabaMorgan JF-Expert Member Joined Dec 18, 2017 Posts 5,197 Reaction score 14,380 Jun 6, 2026 #1 Kumbe ni sehemu tulivu pazuri kuliko hata Sinza ni watu tu waliamua kutuaminisha ujinga
ngara23 JF-Expert Member Joined Aug 31, 2019 Posts 16,871 Reaction score 39,881 Jun 6, 2026 #2 Nimeishi Buza Abiola Oya ilikuwa shangwe
Kennedy Platinum Member Joined Dec 28, 2011 Posts 62,832 Reaction score 77,037 Jun 6, 2026 #3 Anzia Hapo Chini Kwa Mpalange, Mwanagati, Kinyantira, Kitunda, Kibeberu Huko Kuzuri
S Synthesizer Platinum Member Joined Feb 15, 2010 Posts 15,415 Reaction score 29,584 Jun 6, 2026 #4 Mkuu, picha yako inaonyesha reli ya TAZARA, na leeway yake (eneo la reli) sio Buza. Umekosea kuweka picha?
Mkuu, picha yako inaonyesha reli ya TAZARA, na leeway yake (eneo la reli) sio Buza. Umekosea kuweka picha?
Stuxnet JF-Expert Member Joined Feb 12, 2011 Posts 18,875 Reaction score 29,427 Jun 6, 2026 #5 BabaMorgan said: View attachment 3602478Kumbe ni sehemu tulivu pazuri kuliko hata Sinza ni watu tu waliamua kutuaminisha ujinga Click to expand... Huniambii kitu, Buza labda niweke mifugo yangu na kijana wa kuisomamia. Mwanaume mzima utaishije Buza??
BabaMorgan said: View attachment 3602478Kumbe ni sehemu tulivu pazuri kuliko hata Sinza ni watu tu waliamua kutuaminisha ujinga Click to expand... Huniambii kitu, Buza labda niweke mifugo yangu na kijana wa kuisomamia. Mwanaume mzima utaishije Buza??
Titicomb JF-Expert Member Joined Jan 27, 2012 Posts 17,119 Reaction score 32,195 Jun 6, 2026 #6 Synthesizer said: Mkuu, picha yako inaonyesha reli ya TAZARA, na leeway yake (eneo la reli) sio Buza. Umekosea kuweka picha? Click to expand... Yombo Buza siyo uswazi mjini tu. Buza Kanisani pia pako vizuri kuliko Mbezi Temboni. Shida huko kwa Mpalange sijui relini,.
Synthesizer said: Mkuu, picha yako inaonyesha reli ya TAZARA, na leeway yake (eneo la reli) sio Buza. Umekosea kuweka picha? Click to expand... Yombo Buza siyo uswazi mjini tu. Buza Kanisani pia pako vizuri kuliko Mbezi Temboni. Shida huko kwa Mpalange sijui relini,.