Kumbe bwawa la Nyerere yalikuwa maono, Kenya yafunga mkataba wa miaka 25 kununua umeme wa bwawani kutoka Ethiopia

Hakuja na hilo wazo, lilikuwepo tangu enzi za Nyerere.
Kwa hio wazo lilikua linamsubiri nani aje alifanye?kua na wazo ni jambo jingine na kulitimiza wazo ni jambo jingine.

Watz ukiwasikiliza wana mawazo mengi tu mazuri ila kuyafanya sasa hayawezekani .
Miaka yote mnazunguka mbuyu tu oooh mazingira mazingira 🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…