Finegirlone
JF-Expert Member
- Oct 9, 2018
- 1,836
- 3,609
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uyo hata kitumbua chake kitakua kimekakamaaLabda ameona tumbua zuri!
Kujuana tu au pengine bahat alaf pia wanapewa kipaumbele kwavile madj wa kike ni wachache na kiukweli hawana uwezo wana mixing za kawaida sanani kweli mkuu na ila mpaka anapata tenda kama hiyo ujue ana mafekeche ya hatari
Ww umemsifia mzuri watu wamekanusha ungempost usingetia neno la uzur
Hawajambo[emoji23][emoji23]wanajf kwa kuponda mweeh[emoji119][emoji119]
Salute mkuuKujuana tu au pengine bahat alaf pia wanapewa kipaumbele kwavile madj wa kike ni wachache na kiukweli hawana uwezo wana mixing za kawaida sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahah usishangae bosi wajua vyenye nilivyo motooNo no nashangaa kujihami mapema kuwa huyo demu hakuwez wakati uwezi wako naujua kuwa wewe ni motoo
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio umejua leo?Aman iwe juu yenu
Nilikuwa sijui hivi kumbe kale kambea kambea kanakoitwa ka Carrymastory ni ka DJ afu ni karembo hivi
View attachment 1018987
Nilikuwa sijui aisee ndo nimejua. Hongera kwake
View attachment 1018986
View attachment 1018988
Sasa nauliza kwanini kawa mumbea mumbea wakati ana kazi yake au umbea nao ni kazi.
Sent using Jamii Forums mobile app