Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 69,329
- 164,730
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hv picha ya no.1 na picha no.3 ni mtu mmoja ama?? Yaani make up hizi wadada zinawaokoa sana[emoji13][emoji13][emoji13]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaa nimekuja mbio niuone huo uzuri wenyew...matokeo yake nakutana na mtu mwembamba mithili ya mti mkavuKweli uzuri uko machoni mwa ndugu mtazamaji
Aman iwe juu yenu
Nilikuwa sijui hivi kumbe kale kambea kambea kanakoitwa ka Carrymastory ni ka DJ afu ni karembo hivi
View attachment 1018987
Nilikuwa sijui aisee ndo nimejua. Hongera kwake
View attachment 1018986
View attachment 1018988
Sasa nauliza kwanini kawa mumbea mumbea wakati ana kazi yake au umbea nao ni kazi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sura imemkomaa kama sokwe mxieew
Sent from my iPhone using JamiiForums
Huenda amefikia conclusion baada ya kuangalia picha ya kwanza i.e MAKEUP!Kweli uzuri uko machoni mwa ndugu mtazamaji
Ushamuona bila ya make up?Nilikuwa sijui hivi kumbe kale kambea kambea kanakoitwa ka Carrymastory ni ka DJ afu ni karembo hivi
Ushamuona bila ya make up?
Nahis bado hajamuona ndo maana anabwabwaja
nlijua tu hili ndo swal law kwanz kuulzwa,hapo sijaona urembo pamoj na kujitutumua kwa make up