Kumbe CCM wanamwogopa Lissu kwa kiwango hiki?

Kumbe CCM wanamwogopa Lissu kwa kiwango hiki?

Mushkov

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2024
Posts
357
Reaction score
686
Kutokana na Tundu Lissu kutangaza nia ya kugombea nafasi ya Mwenyekiti wa chama Taifa, CCM wamejawa na hofu kuu. Hofu yao ni kwamba, Je, Tundu Lissu akichaguliwa kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, hali ya kisiasa Nchini itakuwaje?

Wanamwogopa Lissu kutokana na misimamo yake kwamba hawezi kulaghaiwa kwa chochote kile anapokuwa katika kupigania mambo ya msingi.
 
Mtu anayeichukia RUSHWA lazima aogopwe.
 
Back
Top Bottom