Wild Flower
JF-Expert Member
- Jul 20, 2023
- 977
- 1,966
Katibu wa CCM, Amos Makala ametangaza leo kuwa CCM wanatarajia kufanya Mkutano Mkuu Maalum wa CCM Taifa na utatanguliwa na vikao vya Kamti Kuu Halmashauri Kuu Taifa kupitia njia ya Mtandao.
Pia ameeleza kuwa ajenda ya kikao hicho ni Marekebisho ya Katiba ya Chama hicho ila najiuliza kama wanaweza wakarekebisha katiba yake ndani ya muda mfupi kwanini ya nchi wana kwama?
Basi warekebishe hata kupitia mtandaoni kama yao wanakazana tu kusema muda hautoshi