Kumbe Chadema ndiyo ililengwa kufanikisha Agenda za leo?? kimekuwa gumzo kuliko umuhimu wa waliohudhuria na walochokizungumza!

Kumbe Chadema ndiyo ililengwa kufanikisha Agenda za leo?? kimekuwa gumzo kuliko umuhimu wa waliohudhuria na walochokizungumza!

Walau NCCR imeona kuna tatizo pahala ila hawa wenzetu wa ACT na CUF hiiiii.... !! chochote mbele yao wanameza tu.
 
NI HAPA TU MTANDAO GANI MWINGINE UMEONA JE MTAANI? KILA MTU YUPO NA ZAKE YAANI WEWE TU NDIYO UNAPATA SHIDA KUMTETEA HUYO KILAZA CHADEMA
kwa hiyo sisi tunakaa mitandaoni?? Hapa jukwaani tunawakilisha kutoka mitaani
 
Yaani watu wamefura kwa chadema kutohudhuria. Na wanaolalamika na kutukana ni wale wale wasiokipenda Chama hiki kisiki cha mpingo. Kwani kulikuwa na agenda gani??
Sio kwamba wafuasi wa Chadema ndio mnotukana huko mtandaoni dhidi ya kila mnayepishana nae kimtazamo
 
Sio kwamba wafuasi wa Chadema ndio mnotukana huko mtandaoni dhidi ya kila mnayepishana nae kimtazamo
Kuna baadhi ya wanachadema ila sio wote na wanaotukana wanafanya hivyo kwa hisia zao binafsi hawakiwakilishi chama.
 
Walau NCCR imeona kuna tatizo pahala ila hawa wenzetu wa ACT na CUF hiiiii.... !! chochote mbele yao wanameza tu.
Kila kitu ni halali kwao hata kama ni nyamanfu
 
Back
Top Bottom