NI HAPA TU MTANDAO GANI MWINGINE UMEONA JE MTAANI? KILA MTU YUPO NA ZAKE YAANI WEWE TU NDIYO UNAPATA SHIDA KUMTETEA HUYO KILAZA CHADEMAtayari ushaizungumza na wewe.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
NI HAPA TU MTANDAO GANI MWINGINE UMEONA JE MTAANI? KILA MTU YUPO NA ZAKE YAANI WEWE TU NDIYO UNAPATA SHIDA KUMTETEA HUYO KILAZA CHADEMAtayari ushaizungumza na wewe.
babu wa pilau hukumuona?Walau NCCR imeona kuna tatizo pahala ila hawa wenzetu wa ACT na CUF hiiiii.... !! chochote mbele yao wanameza tu.
kwa hiyo sisi tunakaa mitandaoni?? Hapa jukwaani tunawakilisha kutoka mitaaniNI HAPA TU MTANDAO GANI MWINGINE UMEONA JE MTAANI? KILA MTU YUPO NA ZAKE YAANI WEWE TU NDIYO UNAPATA SHIDA KUMTETEA HUYO KILAZA CHADEMA
Alikuwepo alikuwa bize anaandika andikaHivi na Yeye alikuwepo?😅😅
Sio kwamba wafuasi wa Chadema ndio mnotukana huko mtandaoni dhidi ya kila mnayepishana nae kimtazamoYaani watu wamefura kwa chadema kutohudhuria. Na wanaolalamika na kutukana ni wale wale wasiokipenda Chama hiki kisiki cha mpingo. Kwani kulikuwa na agenda gani??
Agenda haijulikani zaidi ya MboweYaani watu wamefura kwa chadema kutohudhuria. Na wanaolalamika na kutukana ni wale wale wasiokipenda Chama hiki kisiki cha mpingo. Kwani kulikuwa na agenda gani??
Jasusi fekiSio kwamba wafuasi wa Chadema ndio mnotukana huko mtandaoni dhidi ya kila mnayepishana nae kimtazamo
Msamaha wa Freeman Mbowe ndio umefunika ule mkutano!
wamepoteanaAgenda haijulikani zaidi ya Mbowe
kwani wadau wa siasa ni chadema tu? si walikuwepo na watu wengine😅😅😅Na imewauma sn kutohudhuria
Kuna baadhi ya wanachadema ila sio wote na wanaotukana wanafanya hivyo kwa hisia zao binafsi hawakiwakilishi chama.Sio kwamba wafuasi wa Chadema ndio mnotukana huko mtandaoni dhidi ya kila mnayepishana nae kimtazamo
Kila kitu ni halali kwao hata kama ni nyamanfuWalau NCCR imeona kuna tatizo pahala ila hawa wenzetu wa ACT na CUF hiiiii.... !! chochote mbele yao wanameza tu.
😅😅😅akizuga halaiki kana kwamba anachukua pointiAlikuwepo alikuwa bize anaandika andika
😅😅😅duhNilipopata taarifa kua Chadema hawatashiriki nikakuta tu hicho ni kikundi cha wala ubwabwa wanaenda kukutana
Daaa binadamu sisi,tayari tumeshasahau maamuzi magumuTuna rais asiyeweza kujiamulia yeye mwenyewe kwa maslahibya taifa.
Maamuzi magumu ya kuteka watu na kuua ni maamuzi ya hovyoDaaa binadamu sisi,tayari tumeshasahau maamuzi magumu