Kumbe Clouds Ndio Wanaomvimbisha Kichwa Lord Eyez

Kumbe Clouds Ndio Wanaomvimbisha Kichwa Lord Eyez

JF sikuhizi imekuwa na watu wa hovyo hovyo na hilo linadhihirika katika uletaji post na uandishi wao.
Mleta mada hata mpangilio wa majina katika hiyo picha ya crew ya XXL umeweka majina shaghalabaghala, unatakiwa majina yaende sambamba na picha zao zilivyo ili kumuwezesha msomaji mwingine aelewe kirahisi.

Pili, elezea kwa kina dili gani la nguvu alilopewa huyo Lord Eyez au kupiga picha na hio crew kwako ndio unatafsiri ni dili la nguvu???
 
Hebu fikiria jinsi Ray C anavyoteseka, lakini hawa bado wanampa dili za nguvu Lord Eyez! Hivi wanaelewa hata waanzilishi wenzake wa Weusi Classic hawamtaki kabisa huyu jamaa?
CuFc7gcWcAA7Q8t.jpg.pagespeed.ce.PBDyocM__m.jpg

Lord Eyez (wa pili kulia) akiwa na crew ya XXL – B12, Mami Baby, Kennedy The Remedy na DJ Sinyorita
Clouds wanafanya watakalo wanampa promo ngwear wakati kashafariki think twice
 
Ulitaka wafanyeje? Fata yako
Ulichokiandika unakijua kweli?
chuki ni dhambi ww kijana...jiepushe na dhambi hyo mapema
uchawiiiiiii
Sijaona point hapo..

[HASHTAG]#pumba[/HASHTAG]
Poleni sana ila mnatakiwa kujua Ray C anateseka ipo siku Lord Eyez anaweza kutubu kwa kile alichokitenda.
Hebu pekua hapa:
http://presstz.net/lord-eyez-awarushia-mtego-weusi-adai-wamekuwa-wakimminya-8978820
 
weus wanamkubali lord kichizi yani ni bonge la mwamba uko weusi, sema kinachowakwaza jamaa ulaji wa ngada tu.kuhusu ray c yule ni mtu mzima hamna wa kulaumu apo
 
Back
Top Bottom