PROF NDUMILAKUWILI
JF-Expert Member
- Mar 25, 2016
- 10,518
- 13,144
Ukweli ndo huo weusi wamemtenga huyo jamaa kwasababu ni jambazi na nimtumiaji mzuri wa madawa ya kulevya!Sio kweli kwamba weusi hawamtaki
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukweli ndo huo weusi wamemtenga huyo jamaa kwasababu ni jambazi na nimtumiaji mzuri wa madawa ya kulevya!Sio kweli kwamba weusi hawamtaki
kwiii kwiii😀😛😛Lord eyes ndo nani? Ni yule jamaa wa buguruni anaetoboa watu macho?
Thibitisha mkuuUkweli ndo huo weusi wamemtenga huyo jamaa kwasababu ni jambazi na nimtumiaji mzuri wa madawa ya kulevya!
Nenda youtube kunavideo huko jamaa yuko vizuri kwenye wizi wa vifaa vya magari na walishawahi kumpandisha kizimbani kwa tuhuma za wizi!Thibitisha mkuu
[emoji28][emoji28]yaan wwLord eyes ndo nani? Ni yule jamaa wa buguruni anaetoboa watu macho?
Hahahhh uyo ni mwehu[emoji23] [emoji23] mwenye thread ajekusoma kwanza comment yako
Jf inavituko sanaLord eyes ndo nani? Ni yule jamaa wa buguruni anaetoboa watu macho?
Clouds wanafanya watakalo wanampa promo ngwear wakati kashafariki think twiceHebu fikiria jinsi Ray C anavyoteseka, lakini hawa bado wanampa dili za nguvu Lord Eyez! Hivi wanaelewa hata waanzilishi wenzake wa Weusi Classic hawamtaki kabisa huyu jamaa?
![]()
Lord Eyez (wa pili kulia) akiwa na crew ya XXL – B12, Mami Baby, Kennedy The Remedy na DJ Sinyorita
Ulitaka wafanyeje? Fata yako
Ulichokiandika unakijua kweli?
chuki ni dhambi ww kijana...jiepushe na dhambi hyo mapema
uchawiiiiiii
Poleni sana ila mnatakiwa kujua Ray C anateseka ipo siku Lord Eyez anaweza kutubu kwa kile alichokitenda.Sijaona point hapo..
[HASHTAG]#pumba[/HASHTAG]
Acheni utoto kwa hiyo lord eyes aache Kazi zake ajitokeze kumlilia ray c ambaye juzi katoroka rehab?Poleni sana ila mnatakiwa kujua Ray C anateseka ipo siku Lord Eyez anaweza kutubu kwa kile alichokitenda.
Hebu pekua hapa:
http://presstz.net/lord-eyez-awarushia-mtego-weusi-adai-wamekuwa-wakimminya-8978820