chuma cha mjerumani
JF-Expert Member
- Dec 4, 2013
- 11,541
- 23,999
Eeeeeeeeh
Sasa uongo au ukweli kwangu nafaidika nini na habari za celeb wa TZ?.. pita huko acha tuburudike na kusukuma watu wajitokeze kutoka pangoni.. na habari. Huoni aibu eti uongo na husemi lolote.. eeeeh hii ID umenimisi hasi umeshindwa kuiachia na kuapa kote siku ile kwenye uzi ule.. ulimisika babu.. ukomwe kuapa ovyo.
hivi boksi zima ni sh ngapi
kwa nini umemuita 'MERE' ambassadorKumbe ndugu yetu Naseeb is a mere ambassador a.k.a Balozi mzee Baba Joseph Kusaga Kausika Jionee video uamini.
Duuh kuna mtu mbona kaniambia elfu 22 au 21kama 8000 hivi
Ni mpumbavu pekee anaweza kushabihisha karanga na mkeHahaha we utafurahi mi niongozane na mkeo halafu niseme wa kwangu?
Lini alitamka au kuandika ni mali yake?
Mbona inajulikana kuwa anavuta pesa ndefu sana kila mwezi kufanya anayofanya..
Nilisoma mahala ni 30m tshs kwa mwezi ndio maana anayofanya hayashangazi juu ya karanga hizo. Na zinauzika sana sana.. hata jana nilijikuta nanunua liboksi lote tena..
Hata kama analipwa au ana shares.. wengine ndio inabidi kuiga mfano wa kuingiza kipato.. kuna mengi duniani
Ulishindwa kutumiza masharti ndo maana sijitoi jamiiforum.
Ahsante mwelevuNi mpumbavu pekee anaweza kushabihisha karanga na mke
samahani sana mkuu huenda ukawa na utindio wa ubongo
Hizo karanga zenyewe ni tamu lakini au kwa kuwa zina jina DiamondOyeeeee
Wawekezaji hao wamepewa kampuni ya karanga na wadaku.. makubwa ambayo labda wamekubali kuwekeza watu hawataki kujua hata kama kuna ajira.. wanataka kumsema Chibu tu huku yeye pesa zinaingia benki.. ndio nchi yetu hii ina watu wengi kitukoooo
Sikumbuki.
Kiukweli ni tamu sanaaaa na Balozi wao Diamond Platnum Chibu di chibu deh amesaidia sana kuzipaishaHizo karanga zenyewe ni tamu lakini au kwa kuwa zina jina Diamond
Eeeeeeeh
Muongoooo unajua nilipata jibu tena wa kwanza.. haya basi.. njoo nikupikie msosi mtamu ule ushibe.. nitakutumie ungo likulete.. eeeeeeh Mr. Mbishi bishiiiiii haswa wewe
Hajawahi kutuambia kama yeye ni ambasador mnona bellaire haijashambuliwa? Kila mtu knows kwamba ye ni balozi wa Bellairekwa nini umemuita 'MERE' ambassador
ulivyokuwa unajua kuwa ni mali yake, haukupenda na umefurahia kusikia sio mali yake!!
sasa kama kwa diamond wala hamjuani una behave hivi, kwa majirani zako si unaenda kwa waganga??
Hata mi naonaMods wameshindwa kuficha ID yako!
25% ya watanzania n wagonjwa wa akiliOyeeeee
Wawekezaji hao wamepewa kampuni ya karanga na wadaku.. makubwa ambayo labda wamekubali kuwekeza watu hawataki kujua hata kama kuna ajira.. wanataka kumsema Chibu tu huku yeye pesa zinaingia benki.. ndio nchi yetu hii ina watu wengi kitukoooo
Sikumbuki.
Is your Daddy among them?25% ya watanzania n wagonjwa wa akili
No but members of your clan are.Is your Daddy among them?
Smart investmentIla ukiziangalia hizo karanga kwa jicho la kibiashara za level ya kimataifa na kihesabu zinafaida kubwa sana.
Ikiwa kila boksi ni shilingi elfu 20 na ndani ya boksi kuna pakti 100 inamaana pakti atauza shillingi 200 kwa bei ya jumla katika hilo box moja. Ikumbukwe reja reja ndio tunauziwa tsh.300!
Chukulia mfano tu kwa miezi sita akifanikiwa kuuza pakiti million 3 tu pekeyake.
200*3,000,000= 600,000,000 millions.
Hio ni kwa kiwango cha wastani ila anaweza uza pakiti zaidi ya hizo. Anapotoa gharama za malighafi na utengenezaji, packaging, logistics, mishahara na mikataba pamoja na malipo ya kodi za serikali ambazo kwa pamoja zaweza fika labda million 300 at maximum. Still atabaki na faida ya million 300 ambayo sio hela ndogo kuipiga ndani ya miezi 6 kwa biashara moja inayoendelea vyema.
Kwa promotional efforts na influence ya Diamond kama brand name wanayotumia kuna uwezekano zaidi ya hizo units(pakti) kuuzika chini ya miezi 6 na kwa kuwa bei ni affordable kila mtu anaimudu, chukulia wateja ambao wananunua boksi zima pekeyao wanakuwa wamenunua pakti 100 at per wale wa vifuko vya elfu 8 wananunua pakti 40 at per.
Hio biashara inaonekana ya kijinga ila ina hela sana
NB: Kweli nchi yetu fursa bado ni nyingi wanangu, tutumie vichwa vyetu vizuri biashara za chini ya shillingi 500 ndio zenye faida inayopatikana kwa wepesi kuliko biashara za mahela mengi hasa mzunguko wa pesa ukiwa uko chini kama hali ilivyo sasa.