Kumbe Diamond Karanga Diamond ni balozi! Mali ni ya Joseph Kusaga

izo karanga zilikua zinauzwa supermarket enzi zile zilikuwa kama zina sukari lakini saivi michumvii yaani jau tupu
 
Zitashuka kwa sababu zipi? Zile karanga zinajiuza kwa utamu wake na siyo kwa sababu ya Naseeb.

Cocacola leo hata wakisimamisha matangazo yote huwezi kushusha soko lao.

Misukule ya wcb mna matatizo sana.
Dada yenu amewaambia zilikuepo kitambi,kwa hyo we kumbe hukujuaga kama ni tamu eeehh.Sa hivi kupitia kwa wanaune umejua afu eti TAMUUUU.hapo daah acha nisimalizie
 
Wewe mbwa sisi wana Mzizima hizo karanga tunakula kitambo tu kabla hujazaliwa kwenye majumba ya Cinema kama Avalon, Empire na Empress wakati wa half time.

Wakati huo Kenge wewe na bwana wako Naseeb wote hamjazaliwa wala hata mama zenu hawajakojozwa.
 
lakini wewe unalala kwa shemej yako na diamond ananyumba south...shule yenyewe shida
 
Naseeb ana shule gani? Kuwa na nyumba South Africa kuna ajabu lipi hapo?

Sidhani kama upo timamu kichwani.
wewe kuangalia sinema unaona dili tena kuangalia avalon watu wanajamba jamba na kuuza karanga ndani..mwenzio anamilika mijengo mjn ana utajiri wa kufa mtu pamoja na shule yake ndogo wewe kichwa upandw unaishi kwa dada ako unaleta maneno ya kwenye kanga unachamba hela yenyewe hauna au tufukue makaburi?
 
Am too old for this, wewe si type yangu.

Waulize waliokuzidi umri hizo kumbi za Sinema miaka ya 80's ni watu gani walikuwa wakienda Sinema huku tukipanda Icarus kama ndio town bus.

Sina muda wa kubishana na mtoto wa rika la wanangu.
 
Zitashuka kwa sababu zipi? Zile karanga zinajiuza kwa utamu wake na siyo kwa sababu ya Naseeb.

Cocacola leo hata wakisimamisha matangazo yote huwezi kushusha soko lao.

Misukule ya wcb mna matatizo sana.
Usifananishe cocacola na vitu vya kijinga wewe. Diamond ana impact na soko la hizo njugu.
 
Am too old for this, wewe si type yangu.

Waulize waliokuzidi umri hizo kumbi za Sinema miaka ya 80's ni watu gani walikuwa wakienda Sinema huku tukipanda Icarus kama ndio town bus.

Sina muda wa kubishana na mtoto wa rika la wanangu.
ata diamond ni umri wa mwanao ila anakuajili wewe na ukoo wako wote kuwa na adabu wewe loser
 
Wewe mbwa sisi wana Mzizima hizo karanga tunakula kitambo tu kabla hujazaliwa kwenye majumba ya Cinema kama Avalon, Empire na Empress wakati wa half time.

Wakati huo Kenge wewe na bwana wako Naseeb wote hamjazaliwa wala hata mama zenu hawajakojozwa.
Toka kikeni njoo kiumeni,Unakaa unaokoteza maneno ya like,tukueleweje
 
Usifananishe cocacola na vitu vya kijinga wewe. Diamond ana impact na soko la hizo njugu.
Ana impact kwa wajinga kama wewe,

Ngoja tumuite kwenye Barimi atufanyie Promo ya Balimi na Banana tuone misukule yake mwitikio wenu.
 
Back
Top Bottom