Kumbe Diamond Karanga Diamond ni balozi! Mali ni ya Joseph Kusaga

Kumbe Diamond Karanga Diamond ni balozi! Mali ni ya Joseph Kusaga

Wcb for life
Mkuu mimi sio team wcb wala nini??
Lakini sioni sababu ya kuwa na chuki kwa kijana mwenzako anayefanya jitihada za kufanikiwa.

Kuhusu biashara kuwa yake au isiwe yake hilo ni juu yake naa mikataba yake ya biashara.

Sasa inapotokea mtu analeta chuki kisa diamond kamzidi mafanikio huu tunaita ni uzwazwa na tabia za kishoga na kike
 
Mkuu mimi sio team wcb wala nini??
Lakini sioni sababu ya kuwa na chuki kwa kijana mwenzako anayefanya jitihada za kufanikiwa.

Kuhusu biashara kuwa yake au isiwe yake hilo ni juu yake naa mikataba yake ya biashara.

Sasa inapotokea mtu analeta chuki kisa diamond kamzidi mafanikio huu tunaita ni uzwazwa na tabia za kishoga na kike
Wanawake si watu kwani?
 
Oyeeeee
Wawekezaji hao wamepewa kampuni ya karanga na wadaku.. makubwa ambayo labda wamekubali kuwekeza watu hawataki kujua hata kama kuna ajira.. wanataka kumsema Chibu tu huku yeye pesa zinaingia benki.. ndio nchi yetu hii ina watu wengi kitukoooo



Sikumbuki.
Acha fiksi
 
Kwa wale wabishi, kuwa karanga zinatumia jina la Diamond sijui brand hizi karanga zinaitwa Diamond Karanga miaka na miaka, wamebadilisha rangi ya packet tu na kurembesha zaidi ila jina la Diamond Karanga ni la miaka yao yote ila zinatengenezwa na kampuni ile ile ya miaka yote.

31e3d4a410fbf2fdb9d2ce46cfe39456.jpg


Ni kwamba Kusaga alinunua ubia kwenye hiko kiwanda then akamleta Diamond aje amfanyie promotion.

Na ndo maana wenye karanga zao baada ya tifu wametoa siri kuwa Diamond ni balozi wao tu, sasa nyinyi bado mnafosi tuu.

Jamani kubalini matokeo na ukweli kujulikana na msogee mbele zaidi. Cha maana tujifunze kutokunyali wasanii wengine bila kuujua ukweli wa utajiri wa wasanii wetu.

Huyu kijana anafake sana life.
Mkuu kwani yeye kua balozi hanufaiki chochote? Ufake uko wapi hapa? Unamjua mmiliki wa Bellaire? Wangapi wanaisimamia kama bidhaa yao?

Kama wamefanya ili kumkomoa nina imani huo mkataba ukiisha Diamond hatasaini mkataba mwingine na huo utakua mwanzo wa kudorora hizo karanga.
 
Zitashuka kwa sababu zipi? Zile karanga zinajiuza kwa utamu wake na siyo kwa sababu ya Naseeb.

Cocacola leo hata wakisimamisha matangazo yote huwezi kushusha soko lao.

Misukule ya wcb mna matatizo sana.
kabla ya diamond izo karanga hakuna aliyezijua wala azikuwa na wateja kabisa achen wivu wa kimama nyie wanga
 
Back
Top Bottom