Kumbe Diamond Karanga Diamond ni balozi! Mali ni ya Joseph Kusaga

Kumbe Diamond Karanga Diamond ni balozi! Mali ni ya Joseph Kusaga

Kwan kusema Diamond Karanga si mali ya chibu ni kutomtakia mema?
Diamond Jubilee ipo kabla hata mama yake Naseeb hajazaliwa, achilia mbali Diamond Motors na Diamond bank, bila kuisahau Diamond Sound wana Ikinda nkoi.

Mizuzu na misukule ya Naseeb ni hasara na mzigo kwa Taifa.
 
Hata WASAFI sio yake ni ya Ruge, wale watoto na Zari sio wake ni wa Katunzi na Ivan, yule na Hamisa Mabito ni wa Majizo. Nyumba zote anazopiga picha sio zake ni za Le Mutuz. Yaani huyu Diamond ni bure kabisa. Kiki tu kama pikipiki.
 
Kwa wale wabishi, kuwa karanga zinatumia jina la Diamond sijui brand Hizi Karanga zinaitwa Diamond Karanga miaka na miaka,

wamebadilisha rangi ya packet tu na kurembesha zaidi ila jina la Diamond Karanga ni la miaka yaoote ila zinatengenezwa na kampuni ile ile ya miaka yooote

31e3d4a410fbf2fdb9d2ce46cfe39456.jpg


ni kwamba kusaga alinunua ubia kwenye hiko kiwanda then akamleta Diamond aje amfanyie promotion.

Na ndo maana wenye karanga zao baada ya tifu wametoa Siri kuwa Diamond ni balozi wao tu, sasa nyinyi bado mnafosi tuuuuuu.

Jamani kubalini matokeo na ukweli Kujulikana na msogee mbele zaidi. Cha maana tujifunze kutokunyali wasaniii wengine bila kuujua ukweli wa utajiri wa wasaniii wetu....

Huyu kijana anafake sana life.
Wewe za kwako ziko wapi??
 
Mtu anakaa kabisa kusema Diamond afanye maamuzi magumu kuonyesha jinsi gani tulivyo wajinga!.. Hizo karanga hata kama zingekuwa za Ali Kiba sawa tu cha kujiuliza ni Diamond analipwa kiasi gani kuzitangaza!?.
 
Lini alitamka au kuandika ni mali yake?

Mbona inajulikana kuwa anavuta pesa ndefu sana kila mwezi kufanya anayofanya..

Nilisoma mahala ni 30m tshs kwa mwezi ndio maana anayofanya hayashangazi juu ya karanga hizo. Na zinauzika sana sana.. hata jana nilijikuta nanunua liboksi lote tena..

Hata kama analipwa au ana shares.. wengine ndio inabidi kuiga mfano wa kuingiza kipato.. kuna mengi duniani
Ok nilidhani umeona kipengele cha mkataba
 
Diamond Jubilee ipo kabla hata mama yake Naseeb hajazaliwa, achilia mbali Diamond Motors na Diamond bank, bila kuisahau Diamond Sound wana Ikinda nkoi.

Mizuzu na misukule ya Naseeb ni hasara na mzigo kwa Taifa.
Ila mazombi ya mange kwa kweli ni mizigo na mitumwa ya kudumu.PLS DA MANGE WA JF,HIDE MY ID
 
Diamond huwa anasema : amekuwa Muuza karanga, na atatoa zawadi ya ushindi ya gari au TV, kumbe karanga zenyewe sio zake, Tutakutanaje shell anipe zawadi yangu? Halafu kuna watu husema Tz kuna Tume ya kuzuia michezo ya bahati nasibu, Hivi ni kweli kama mambo yenyewe ni usanii usanii namna hii, nasikia na hii michezo ya Biko, Tatu mzuka ni usanii mtupu, Hao tume wako wapi, Biko ni hao hao clouds
Mkuu samahani wewe profession yako ni ipi?..Yani kama umesoma ulisomea nini!?
 
Kwa hiyo povu la nini??
Yaani uzi wote huu ni kwamba kumtakia mabaya jamaa, dah! Iwe zake au sio zake kuna tatizo lolote?? Kuna siku yeye alisema ni zake au sio zake??
Wanaume wa kike mnaongezeka kwa kasi ya ajabu sana.
Hahaaa eti wa kike,unakuta janaume zima linakaa ooh DA MANGE.yani unacheeka mpaka basi
 
Back
Top Bottom