loosimingori
JF-Expert Member
- Oct 30, 2017
- 920
- 1,145
nahic aliyepost huu uzi anaomba uwe deleted
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Why uwe deleted mkuunahic aliyepost huu uzi anaomba uwe deleted
Kwa ajili ya hao timu Diamond waliozoea kuongopewa.nahic aliyepost huu uzi anaomba uwe deleted
Binafsi sipendi kuongelea watu na mambo ya wasanii lakini hili limenigusa sana sana.
Kama mnakumbuka namna mr Nice alivyokuwa akiishi maisha ya kuigiza,steven kanumba hivyo ivyo pamoja na wasanii wengine sikuua kama msanii mahiri kama Diamond akiingizwa katika ujinga huo huo na wasaka pesa.
Kutokana na ugomvi wa chini chini baina ya kundi la WCB na Clouds media hasa chanzo kikiwa ni mradi wa redio na tv..sasa akina kusaga wameweka wazi kuwa zile Karanga za Diamond Karanga ni mali ya kampuni ya Clouds na Diamond ni balozi tu.
Nimeumia sana,maana nimekuwa nikimuona diamond kama kijana anayesaka fursa licha ya kutokuwa na elimu ya kutosha.
Namuomba diamond afanye yake atatoboa badala ya maisha ya show.
--------------------\
Hawamiliki mzeeKwani REAL MADRID wanamiliki EMARATES
Subalkheir bibieMmhh
Hapa umekosea umeonyesha chuki yako kwenye maendeleo ya mwanaume mwenzio!..Jamani kubalini matokeo na ukweli Kujulikana na msogee mbele zaidi. Cha maana tujifunze kutokunyali wasaniii wengine bila kuujua ukweli wa utajiri wa wasaniii wetu....
Huyu kijana anafake sana life.
Hahaaa Ndo maana sjawai kuwa na akaunti ya insta. Maana nigegombana na watu mpk nifungwe. ShubaamitTena vidume wamejazana kwa mange balaa ukija tu umbea utawasikia jomon,mambo ni pambeerr
Tupo wachache mkuu, nikiwaambiaga wanaume wa Dar sina akaunti instagram huwa hawanielewi.Hahaaa Ndo maana sjawai kuwa na akaunti ya insta. Maana nigegombana na watu mpk nifungwe. Shubaamit
Insta kuna Ishu za kisenge sana Udaku daku usio na maana na kuuza suraTupo wachache mkuu, nikiwaambiaga wanaume wa Dar sina akaunti instagram huwa hawanielewi.