TEAM 666
JF-Expert Member
- Dec 7, 2017
- 4,399
- 8,594
Clouds PerfumeKusaga perfume
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Clouds PerfumeKusaga perfume
Umeangalia video hapo juusina uhakika huo kwasbb hakuna chanzo sahihi kilichotoa taarifa hiyo imekuja kama udaku
Baada ya kuwa Balozi mkajua Zake,sio?kabla ya diamond izo karanga hakuna aliyezijua wala azikuwa na wateja kabisa achen wivu wa kimama nyie wanga
Ikibidi Shilawadu perfumeClouds Perfume
okay kumbe uzi upo updated santeUmeangalia video hapo juu
Subalkheyr!!Subalkheir bibie
Dada yenu amewaambia zilikuepo kitambi,kwa hyo we kumbe hukujuaga kama ni tamu eeehh.Sa hivi kupitia kwa wanaune umejua afu eti TAMUUUU.hapo daah acha nisimalizieZitashuka kwa sababu zipi? Zile karanga zinajiuza kwa utamu wake na siyo kwa sababu ya Naseeb.
Cocacola leo hata wakisimamisha matangazo yote huwezi kushusha soko lao.
Misukule ya wcb mna matatizo sana.
Povu sio zuriDada yenu amewaambia zilikuepo kitambi,kwa hyo we kumbe hukujuaga kama ni tamu eeehh.Sa hivi kupitia kwa wanaune umejua afu eti TAMUUUU.hapo daah acha nisimalizie
HAHAHAAA,hivi povu linatokea wapi kama si nyinyi TEAM DA MANGEPovu sio zuri
Wewe mbwa sisi wana Mzizima hizo karanga tunakula kitambo tu kabla hujazaliwa kwenye majumba ya Cinema kama Avalon, Empire na Empress wakati wa half time.Dada yenu amewaambia zilikuepo kitambi,kwa hyo we kumbe hukujuaga kama ni tamu eeehh.Sa hivi kupitia kwa wanaune umejua afu eti TAMUUUU.hapo daah acha nisimalizie
lakini wewe unalala kwa shemej yako na diamond ananyumba south...shule yenyewe shidaWewe mbwa sisi wana Mzizima hizo karanga tunakula kitambo tu kabla hujazaliwa kwenye majumba ya Cinema kama Avalon, Empire na Empress wakati wa half time.
Wakati huo Kenge wewe na bwana wako Naseeb wote hamjazaliwa wala hata mama zenu hawajakojozwa.
Naseeb ana shule gani? Kuwa na nyumba South Africa kuna ajabu lipi hapo?lakini wewe unalala kwa shemej yako na diamond ananyumba south...shule yenyewe shida
wewe kuangalia sinema unaona dili tena kuangalia avalon watu wanajamba jamba na kuuza karanga ndani..mwenzio anamilika mijengo mjn ana utajiri wa kufa mtu pamoja na shule yake ndogo wewe kichwa upandw unaishi kwa dada ako unaleta maneno ya kwenye kanga unachamba hela yenyewe hauna au tufukue makaburi?Naseeb ana shule gani? Kuwa na nyumba South Africa kuna ajabu lipi hapo?
Sidhani kama upo timamu kichwani.
Am too old for this, wewe si type yangu.wewe kuangalia sinema unaona dili tena kuangalia avalon watu wanajamba jamba na kuuza karanga ndani..mwenzio anamilika mijengo mjn ana utajiri wa kufa mtu pamoja na shule yake ndogo wewe kichwa upandw unaishi kwa dada ako unaleta maneno ya kwenye kanga unachamba hela yenyewe hauna au tufukue makaburi?
Usifananishe cocacola na vitu vya kijinga wewe. Diamond ana impact na soko la hizo njugu.Zitashuka kwa sababu zipi? Zile karanga zinajiuza kwa utamu wake na siyo kwa sababu ya Naseeb.
Cocacola leo hata wakisimamisha matangazo yote huwezi kushusha soko lao.
Misukule ya wcb mna matatizo sana.
ata diamond ni umri wa mwanao ila anakuajili wewe na ukoo wako wote kuwa na adabu wewe loserAm too old for this, wewe si type yangu.
Waulize waliokuzidi umri hizo kumbi za Sinema miaka ya 80's ni watu gani walikuwa wakienda Sinema huku tukipanda Icarus kama ndio town bus.
Sina muda wa kubishana na mtoto wa rika la wanangu.
HahahahaNaseeb ana shule gani? Kuwa na nyumba South Africa kuna ajabu lipi hapo?
Sidhani kama upo timamu kichwani.
Toka kikeni njoo kiumeni,Unakaa unaokoteza maneno ya like,tukuelewejeWewe mbwa sisi wana Mzizima hizo karanga tunakula kitambo tu kabla hujazaliwa kwenye majumba ya Cinema kama Avalon, Empire na Empress wakati wa half time.
Wakati huo Kenge wewe na bwana wako Naseeb wote hamjazaliwa wala hata mama zenu hawajakojozwa.
Ana impact kwa wajinga kama wewe,Usifananishe cocacola na vitu vya kijinga wewe. Diamond ana impact na soko la hizo njugu.